kam unapata mimba unawatoto muwache ivyo ivyo tu usitafute stress dada ❣️
2026-11-22 12:48:53
41
@tom_kauli :
huyu mama Rachel kashaanza kunitangaza
2026-11-22 12:51:34
15
Asia Anuary. :
Ad anakua Mume ukuona Jamani
2026-11-22 14:49:54
2
💝mommy atha🥰 :
hawana shukrani hawa usimuhangaikie
2026-11-22 15:50:13
1
mom B🌹💖 :
na wanakua na wiv ao atali
2026-11-23 04:59:44
0
Attractions! :
usijijajie tamaa dada
2026-11-22 10:52:16
2
@sabrina_upepo22 :
mkiambiwa msitafute wazee hamsikii
2026-11-22 13:25:16
3
Colababy🥰🥰 :
Ndoto ndio nzur anataka ya kumuumiza kizaz?
2026-11-22 16:32:53
1
Muni makeup kivule :
mtaje jina na no ya cm ili tumkwepeee [Tears of joy]
2026-11-22 19:22:37
0
nifah😱😱😱 :
daah huluma kwer, ukisema umsaidie badae utakuja kuteseka, ukimchiti una muonea huruma kikubw ata sijui nisemaje
2026-11-22 13:45:55
3
g420 :
ANICHEKI NIMSAIDIE HII SERIOUS
2026-11-22 18:27:14
0
chau :
kama anaweza kukupa mimba anakuhudumia mueshim mjali mfichie siri mpende sana ili aishi mwaka mingu Mungu kakupa wakukupa furaha baby uyo ishi nae mfundishe jinsi yakukujilesha imeisha
2026-11-22 19:56:43
1
Nyaso Collection👗🛍️ :
Dhambiiii🥺
2026-11-22 12:43:04
0
Mama G :
Watu wanarahisisha eti kama ukipata mimba usijal hzo hisia zake zinaishaje zitaisha kwa hiyo mimba au mwanzo wa kuingia kwenye pepo la kujichua achen kumfariji bna ajitahid kumpunguzia vyakula vya mafuta sukar azidishe vyakula vya asili na ampunguzie stress kinaweza kikawa kidogo ka sigara ila kikasimama imara😢
2026-11-22 15:15:50
2
aydahlin.cakes. Arusha :
Yani usihangaike nae kabisaaa, ikiwezekana kamtolee na sadaka Mungu kwa ufundi huo
2026-11-22 21:20:21
2
Marrryyyyyyyyyy!!! :
Huruma sio malez utanishukur badae[Tears of joy]
2026-11-22 15:10:51
1
brave girl :
Tumuambie au tumuache
2026-11-22 14:35:56
1
beingnaima24 :
Yan kam anauwezo wa kukupa mimba tulia Jmn maan ukiwa jasir utalia wew kuliko ambulace wallah nina ushuhuda kipenz
2026-11-22 18:21:54
0
Elizabeth Mataluma :
ndo vizuri achiti
2026-11-22 18:41:23
0
Mamsalu :
Ehee mungu niandalie kama huyu mm
2026-11-22 19:28:34
0
Syn ❤️ :
mlilie Mungu pekee sisi binadam atupendani.
2026-11-22 21:35:22
0
شو ادامو🕋🕌 :
mamaee subhannallah😂😂😂
2026-11-22 20:03:24
0
mihambo Omary Seleman :
Kama alijichua muambie hasitumie dawa yoyote ile
2026-11-22 14:00:59
0
To see more videos from user @zerryhealthcare, please go to the Tikwm
homepage.