@feis626: dah joob 😭😭kuna watu na comment vibaya bila kujuwa watu wingi wamekosa ajira sio wazanzibar wa sio wabong wote wamekosa ajira ww leo cheka na pia comment vibay halija kukuta ww🥺🥹ila mung yuko pamoja na si na wote walio kosa ajira amiiin

feis🌴🤠
feis🌴🤠
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 22 November 2026 07:29:05 GMT
182
22
5
0

Music

Download

Comments

jokhamammy
Bint mohammed❤️‍🔥 :
poleni
2026-11-22 07:54:42
1
mejayusuph
meja Yusuph :
poleni sana ndugu zetu
2026-11-22 08:52:05
1
demairah
Dettah Bwizzo😜 :
Daaah 😔 Mungu akawape wepesi na kuweza kupata kazi tena kwawaliopoteza Ajira🙏🫂
2026-11-22 07:32:09
2
shaadyjay
shaadyjay :
kaka yangu sikujui ila kwahiki nilicho ona nimeumia sana inshallah alahumaaa amin Allah yukopamoja nawewe tuzidishe madua Yetu kwenu mungu awape nguvu Tena inshallah kilajambo nikadari zake mungu yallabb awape nguvu Tena yakusimama 🙏🥰🥰
2026-11-22 08:09:51
1
stelagadi149
Stela Gadi :
Daaah inauma sana kuona hamna kazitena mungu awasinamie kwakipindi hichi kigum
2026-11-22 07:53:28
1
yuu.nana65
yuu nana :
sale hoteli yenu au
2026-11-22 07:43:01
0
To see more videos from user @feis626, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About