@newjerusalem.tv: USIKIMBIE NDOA, KILA MAHALI KUNA UGUMU! Hayo ni maneno ya Pastor na mwimbaji wa nyimbo za Injili Christina Shusho, akizungumzia changamoto zinazopatikana katika maisha na ndoa. Amesisitiza kuwa si kwenye ndoa pekee kuna ugumu, hata kwenye biashara na huduma kuna changamoto. Kila jambo jema lina gharama yake, linahitaji uvumilivu, kujitoa na hekima ya kukabiliana na changamoto. Swali ni: Je, unakubaliana na ujumbe huu wa Christina Shusho? #newjerusalem_media #NewJerusalemTV #GospelNews #christinashusho
hakuna pa zuri
salama by Irene khavere on YouTube channel
2026-11-23 13:58:48
0
jerida steve :
amen mama shusho
2026-11-23 20:12:59
0
Paul Mutwiri :
nothing is easy 👍🙏🙏🙏🥰
2026-11-23 11:58:08
0
silviakiaka :
kuna siku nilimshauri mtu akanijibu mbona wewe yalikushinda lakini kuna mambo mengine ni bora ushindwe ili uwe salama
2026-11-22 08:19:50
9
Amina :
usitudanganye yaliokutoa
kwako nasisi tunayapitia
2026-11-24 10:51:16
0
lusi :
asante
2026-11-23 09:06:40
0
Robert :
mm huwa nazielewa nyimbo zako lakini sijwahikukuelewa kwenye ushauri wako wowote
2026-11-24 04:11:09
1
shazzo swallo :
mtumishi mbona ww umekimbia
2026-11-22 18:07:46
1
Ngwai Mjr :
tukipata wanawake kama hawaa Kila mkoa pangetulizanaa.
good attitude congrats 👏👏
2026-11-24 11:51:27
1
Mac Donald :
machokijua mimi nikua mtu anakuwa mwalim mzuri pale anapopitia magumu sasa anapaza sauti yake kuwaonya wengine ili wasije fika ambapo yeye aliwahi kosea mimi binafis nimekuelewa sana
2026-11-23 13:14:58
0
aishamzigo :
mbona yeye kakimbia kwenye ndoa yake
2026-11-22 14:17:42
2
AyoGtz🇹🇿 :
watu wanaacha ndoa wanaanza kuwa walimu WA ndoa alafu utakuta kuna MTU anamfatisha maneno yake[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-23 09:43:16
1
Robert Ngonde :
Maneno bila matendo ni kazi bure kabisa
2026-11-24 08:06:07
1
Dorice Edison :
mmmmh mbona wewe uliondoka
2026-11-22 18:45:32
1
James Thomas :
unatushauri yaliyokushinda
2026-11-23 11:26:37
2
SHAZMENA BEAUTY :
hakuna sehemu ambayo ni rahisi lakini sehemu ambayo huonwi na hausaminiwi niendelee kukaa hapo nifanye nini usikubali kuwa mfia ndoa mungu yupo atakuletea rizki nyingine unatakiwa umuamini mungu tu....
2026-11-22 13:53:33
3
Charline :
asante maman mungu akubariki
2026-11-22 09:56:33
3
bokee :
Niukweli umesema, na nimejaribu kungangana na ndoa nimeomba mungu, lakini nimetiziwa kisu mara mbili madhalau ni kama yote hakuna heshima, zipendwi na familia hii familia kutoka Kwa mzazi mpka mandugu hakuna kuoa ama kuolegwa nifaye Nini watoto ni wawili mdogo n 14years
2026-11-22 15:41:40
1
Subira kapala@ :
ushauri wako nimeuchukua maana nilitaka kufanya maamuzi ila kwasasa naomba Mungu akubariki unisaidie mtaji kiasi chochote nifanye biashara please
2026-11-22 08:28:40
2
Choy404 :
Mbona yeye alikimbia ndoa
2026-11-22 12:18:18
1
The Seer🔥 :
Siondoki mpk nivunjwe moyo
2026-11-22 10:11:07
1
stela homa :
nimebarikiwa mama na ushauri wako mungu akutunze
2026-11-22 11:17:27
1
veelove :
acha nasisi tukimbie kwanza tutarudi kutoa ushuhuda
2026-11-24 11:50:14
0
Jey dee :
Amina
2026-11-22 08:21:09
0
To see more videos from user @newjerusalem.tv, please go to the Tikwm
homepage.