@nijuzenews: Heche jino kwa jino na Jaji Mkuu Masaju kuhusu madai ya watu kuihukumu mahakama Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u Tembelea tovuti yetu kwa habari zenye uchambuzi wa kina>>> www.nijuze.com
niliacha kwenda kanisani tangu 2018 mpaka Leo kwa sababu huyu jaji ni msababto na niliwahi kukaa nae benchi Moja kanisani Dodoma, ila kwa yeye kukaa kimya juu ya mahakama yake niliona hata makanisa ni porojo tu Bora niamini mungu yupo ila kanisani ni miradi ya watu na mahakama ni miradi ya watu, 💪💪
2026-11-22 09:39:49
23
MBUZZI :
unajua tusimsifie heche kama tunamuamini tuungane nae siamini kama Anapambania uongozi Mimi moyoni mwangu Naamini HECHE anapambana NCHI iwe na watumishi wanaowatumikia wananchi na Anapinga uongozi wa kidigteta na hataki NCHI kuongozwa na mtu mmoja anataka NCHI iongozwe na Sheria inayotambua kwamba tajiri na masikini sawa SIKUSHAURI ILA MIMI NAAMINI HIVO ansanteee! kwa kusoma
2026-11-22 18:44:03
3
humphreylukambing :
uko sahihi kabsa je kwa mfano wakipewe NCHI je MAHAKAMA HAZITAKUWEPO
2026-11-22 08:37:49
4
jombaa :
masaju ni kibaraka wa CCM
2026-11-22 09:11:58
8
issaibony :
ucseme hawakuwepo mahakamani kesi watu wamefwatilia mwanzo mwisho kuwndesha kesi na kutoa hukum co ndio halali unaweza hukumu kwa maagizo TU.
2026-11-22 10:33:06
3
Saidi furahisha :
wapo watu wameibiwa na watu wanaowajua kwa majina na sura kwa kutumia nguvu ila mahakama ikasema ushahidi haujakamilika ndio tz
2026-11-22 10:02:35
2
lucasmwaveyah :
Heche upo sahihi kabisa kwa asilimia mia
Nilikuwa na imani kubwa sana Jaji mkuu Masaju ila kwa mahakama ilichokifanya kwenye kesi ya Lisu na alichokiongea jaji mkuu amenifanya nisiwe na imani kabisa na vyombo vya Dora.
2026-11-22 14:43:42
1
Celestine Ryoba :
uchawa ni kitu kibaya xana
2026-11-22 12:00:56
4
goamakalula :
kama ndio Ivo heche mahakama imetenda Haki zile kauli alizotoa lisu kuhusu kuvuruga Uchaguzi ni kosa kisheria tenà wengine wanasema mahakama imempa adhabu ndogo
2026-11-22 11:25:17
0
baba paroko :
Mungu anakuona[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-22 08:24:59
0
Lucs Tz :
Heche wee ndo mtu wetu umeongea vitu vya maana sana
2026-11-22 09:48:35
8
Mahimbo Kumbisaga :
HECHE UMETOA SOMO ,ASYEJUA AMEJUA ,,ASANTE SANA
2026-11-22 10:32:52
4
williamkessy :
Ndio maana RC hawawapi hawa watu airtime
2026-11-22 08:27:10
1
manvet :
Kanisani ni eneo la upigaji ela tuu
2026-11-22 12:21:17
2
Good luck :
upo sahihi bro heche,
2026-11-22 14:38:59
1
king William :
Sasa anacheka nin mbn cjaelewa
2026-11-22 14:08:34
1
Prof Mugisha :
Ni kweli kabsaa Heche
2026-11-22 16:06:18
1
mrswaggar :
tunamwachia allah ndo hakimu wa mahakimu
2026-11-22 09:53:19
1
Omary Kipanga :
nyie chadema haki yenu iko makanisani
2026-11-22 09:38:51
0
Nasoro Martini :
brother heche waache tu wafanye mazambi yao ila malipo ni hapa hapa dunia nchi yetu umeenda mlalo wamemuonea mzee wawatu mm sn chama chochote lakn mambo walioyafanya mtajibiwa pua zetu wote zimengalia chini.tunamlilia mungu atatenda tu siku si nyingi
2026-11-22 18:34:18
0
Karachi :
Heche Mungu akulinde.
2026-11-22 19:16:32
0
kazembesteve :
nyie watu mmelaaniwa aisee😭😭kila wakati kupotosha watu wa sasa si wale
2026-11-22 18:56:34
0
jems :
nakukubalisana,
2026-11-22 19:48:20
0
tik tok :
upendo upi kwenye nchi wstu wanauwawa na wasiojulikana
2026-11-22 18:36:14
0
Makamba Muinge :
kwani kesi. ya lisu inahitaji kusoma? ..... kila binaadamu anajua kilichoendelea. kesi nyingine lakini hukumu ya kesi nyingine hata mimi nashangaa. ..... pamoja sana heche na tupo nawe kila siku.
2026-11-22 18:45:59
0
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm
homepage.