@missezzy0: Nikikumbuka naisha hewa😭#ezzy💜🦋 #fypppppppppp

Ezzy💜🦋
Ezzy💜🦋
Open In TikTok:
Region: AE
Sunday 22 November 2026 09:43:36 GMT
31723
5418
89
915

Music

Download

Comments

koratoto02
Arlyce...⚜️💚 :
Talking of "kwani lazima nijibu ndio ujue nakuskia 😅😅💔
2026-11-22 09:48:05
143
njokii19
Njokiii😍❣️ :
Mimi amewahii niambia nifikirie venye nataka,kisha nikamuambia"I'm sorry I overthought the matter"[Crying][Crying][Crying]ntapataje kupona??
2026-11-22 10:46:44
22
bosslady2555
Boss Lady :
Acha nisiwaambie mana nikisema mtaniona chizi mapenzi 😁
2026-11-22 11:38:02
9
elsie.io
elsie💫 :
mm nishai ambiwa unakuja ama nicheat na nikaenda jehovaa😭
2026-11-22 10:04:11
62
perpe524
wanja 💋 :
Nimetoka police station Leo sahii,nionge kwa kusimama ama kukaa guys😭😭
2026-11-22 11:45:26
9
_ily.sophh04
Sophy Fashion Hub👗🛍️ :
Na mwisho akanijibuuu OK P🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-22 10:50:55
17
babytinah567
Baby Tinah Official :
Niliwai ambiwa ongea haraka nina kazi nilimblock yule mbaba 💔😅😅
2026-11-22 12:18:43
3
trisher498
Trisher49 :
ana mzazi mwenzie halafu ananiuliza akimuoa me na yeye tutaishije🥺🥺🥺
2026-11-22 11:57:28
4
saidamcute
PrettyDoll💋❣️❣️ :
Mm nshawai ambiwa kata kuna mtu anapiga na nkakata😂
2026-11-22 09:59:34
6
pisces_leopl
Pisces_leo🤍🖤 :
Ety we can talk things out please don’t leave me[Crying] wacha tu😂😂
2026-11-22 12:19:49
2
lailath14
laomy ❤️💖🌹 :
Mm niliambiwa "nawapenda kukuza mambo "akii sijawai heal💔🥹
2026-11-22 11:17:20
8
velden50
velden50 :
mimi niliambiwa sioni haja ya wewe kumchukia na nawapenda wote
2026-11-22 11:26:50
10
essiminja1
Essi Minja🌼 :
[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-22 12:20:36
0
luna.razani
Luna razan :
fikiria vile unataka
2026-11-22 11:04:54
4
mss.0scars
🌸 Pisces ♓ 🌸 :
mi niliambiwa niende na nisipoenda nisiwai kanyaga kwake tena nikajibeba saa tano usiku nikaenda😭😭😭💔
2026-11-22 10:55:39
4
ww3srt.com
￴ ￴￴￴￴￴ ￴ ￴￴￴￴￴ ￴￴ ￴￴ :
Nilimwambia i love you akanijibu woza 😂😂
2026-11-22 11:08:49
4
dimpledoll444
♡YAS♡ :
"kwani naskiza na mdomo si nakuskia" aiii😭😂😂😂acheni nikae pekeangu
2026-11-22 10:04:47
7
miss.margy
Margy💜🦋 :
Na bado 😹😹
2026-11-22 09:57:38
4
ray.g.njeri
Ray g njeri :
nliaambiwa ati anaonanga nkikaa mismatch wake na bado nkainsist nampenda 😂😂😂waiter ongeza sumu quarter
2026-11-22 12:18:09
1
nimuh15
NimohDiaries :
usinipigie na bado ukapiga😂😂😂
2026-11-22 11:23:56
2
rouzy.nyagudi
Rouzy :
na ile ya sikuskii vizuri😁
2026-11-22 12:01:34
1
anam.rose7
Anam Rose :
nishai ambiwa we ndo unajua,roho ni yako😏😏
2026-11-22 11:01:09
3
its_c.a.r.i.n.e
___𝓻𝔂𝓷𝓮.𝓲𝓿𝔂 ✨🦋💕 :
Niongee kwa kusimama au kwa kukaa😭
2026-11-22 11:38:27
1
user4670055639135
husnaasembeka037 :
😂🤣🤣🤣si we pekee
2026-11-22 09:57:42
1
To see more videos from user @missezzy0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About