hii no concept ya kihasibu prepaid expense na differed income
2026-11-22 19:19:08
1
VAN :
Ndo maana Dubai kodi kila mwezi
2026-11-22 12:28:32
3
Binām :
mimi napangisha chumba masta full tiles, full AC kwa mwezi 1 ni 3,000,000 na utapata offer ya miezi 5 ya mbele yake bure ukiondoka ofer ya bure imekufa😂😂
2026-11-22 20:50:15
2
kalamba Jr :
iyo si ndo prepaid unalipa kabla ya matumizi😁😁
2026-11-22 17:23:49
2
user1140350269845 :
Kabenda unamadinii
2026-11-22 19:08:33
1
joachim xavier :
hakuna kitu kama hicho ukilipa hela miezi mitatu mpangaji akihama imekula kwake hiyo.
2026-11-23 11:35:01
0
johnsonswai5 :
Ayo ni mawazo yako sio sheria
Kurudisha pesa hi hekima tu ya mwenyenyumba maana yeye hajavunja mkataba apo... Tubaki tu kwenye hekima zinazoleta suluhu ila tusipotoshane
2026-11-22 16:03:22
1
Blackman with bright brain 🧠 :
bro ni mshauli mzuri wa kiuchumia lakin mm n mwanasheria kwanye issue ya kuvunja mkataba kakosea sio sahihi bila shaka kajielekeza vibaya katika utafasili wa sheria za aridhi "land law " Particular kwenye issues ya Tenance and Tenant
2026-11-22 11:19:19
1
To see more videos from user @dieliapro, please go to the Tikwm
homepage.