@tanesco_official: 🍗🔥 JUMAPILI YA LEO TUNABONDA CHICKEN BIRYANI! 😂😋 Mwanetu, baada ya mishe za wiki nzima, leo tunajipongeza kwa menu ya kibabe! Na uzuri ni kwamba, kwa umeme wa Tsh 365/- tu, Chicken Biryani inatua mezani! 😎⚡ Sasa bado unadhani kupika kwa umeme ni gharama? Admini anakwambia, unachelewa sana! Haya, watu wa Chicken Biryani mpooo? Au Jumapili kwenu kuna menu gani? 😂👇 Ujanja ni Kupika kwa Umeme! #TANESCO #PikaKwaUmeme #NishatiSafiYaKupikia
Yani me mnanikera mnavyokatakata umeme huku pugu mtatuuunguzia vitu jaman😳😳
2026-11-22 19:01:51
0
HIV/AIDs :
MWALIKO TAFADHAR
2026-11-22 14:13:40
0
It’s me Miss Mgopa 🦋♥️🧚♀️ :
FAMILIA ASANTE SANA SHIDA YANGU NILIILETA TIKTOK NA IMETATULIWA MMEKUJA KWA WAKATI NIMEPATA HUDUMA SINA CHA KUWALIPA SASA HIVI SIPATI SHIDA YA KUINGIZA UMEME MMENYOOKA KAMA RULA🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-22 10:59:54
0
madamebalozi07_ :
Jaman Kigamboni (kisarawe II ) mmetukatia umeme toka asubuh hili joto na maji hakuna Kwasababu umeme hakuna kama tumewakosea tusamehen mtuwashie umeme 🥺
2026-11-22 11:18:54
0
Nicklove Donald :
Mbeya Hamna Umeme Siku Ya pili hii mpobz naufara uu
2026-11-22 11:40:16
0
To see more videos from user @tanesco_official, please go to the Tikwm
homepage.