Watanzania wenzangu naomba tupeleke nchi yetu kwa mganga 😅😁😂
2026-11-22 12:17:56
38
Ramilizo double r :
tulio cheka kwa nguvu tujuane
2026-11-22 12:17:04
102
iLida🍎 :
jamn muonee huruma na yeye alikuwa na njaa
2026-11-22 11:50:06
71
OMMY KALLAH 🇹🇿💰✨ :
Mwache mwenzetu[Innocent]
2026-11-22 12:12:23
14
E TOUCH :
maliasili mko wapi?
2026-11-22 12:04:59
48
Aiem_sammy🍂✨ :
tulieni kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake
2026-11-22 12:33:51
7
mama nawal🌏♥️ :
hii kitaalam Ina itwa ni afya ya akili huwez kugombana na kitu ambacho hakuna mda na wewe Wala hajui alicho kifanya Yani mungu huko juu anajionea mambo jmn ya viumbe vyake
2026-11-22 12:11:12
24
Amworo :
ww dada umenichekesha saan aise, had wat wamenishangaa ety
2026-11-22 12:10:23
5
emryn❤️🩹 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]unamdhalilisha panya
2026-11-22 12:42:27
0
munanjiku30 :
tatizo vyumba vya 15[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-22 12:50:17
0
🎀Tina✨️🎀🥷 :
mfunge vizuli atakimbia😂🥺
2026-11-22 12:07:42
5
chimamy 💋phina❤️ :
🤣🤣🤣jamani nimecheka sana dada angu🤣🤣🤣🤣
2026-11-22 12:03:44
9
jessyqute1 :
Ngoja nikaite police 😂😂😂😂
2026-11-22 12:42:18
0
paulpeter :
ila hii nchi kuitetea ni ngumu sana
2026-11-22 12:10:30
4
stella🤩🤩 :
naye ni rizik yake 😭😭
maskini panya
2026-11-22 12:04:19
13
Hamisi Saidi :
Mwite jose wote wataisha
2026-11-22 12:06:57
11
FASS TIGER 🐯 :
sauwaàaaaaaa
2026-11-22 11:46:35
7
Salum Kidomo :
asa ukimuuwa ndokapangiwa riziki na mungu arafu mshukuru sana maana tunaenda kununua kingine spesho nauta tuza vi nzuri.dada🤣🤣🤣@
2026-11-22 12:11:33
5
king_amar_44 :
2026-11-22 12:31:25
1
chau siku wa mang"ula :
hana shmba uyo jamni tunaish kwa kutegemeana msamehenplz🙏🙏 kuna watt wanmtegemea jamni😭😭
2026-11-22 12:35:55
2
phax_mg :
unamtesa bn mwachie utanunua nyingine
2026-11-22 12:41:08
3
To see more videos from user @asha.ramadhani560, please go to the Tikwm
homepage.