@micah.muhoho: Una kitambi na unataka kujenga misuli imara ya tumbo? Anza na haya mazoezi mawili! 🔥 Huhitaji kuanza na movements ngumu. Jenga msingi kwanza: 1️⃣ DEAD BUG — Husaidia kuimarisha misuli ya tumbo na uwezo wa ku-control mwili 2️⃣ MOUNTAIN CLIMBERS — Hufanya kazi kwenye misuli ya tumbo na pia huongeza changamoto ya stamina Ukizoea mountain climbers za kawaida, jaribu kuleta goti lako kugusa kiwiko(elbow) cha upande wa pili. Kumbuka: Mazoezi ya tumbo huimarisha misuli, lakini hayawezi kuyeyusha mafuta ya tumbo pekee. Ili kupunguza kitambi, zingatia pia lishe, shughuli za mwili na consistency. Anza na uwezo ulionao, boresha hatua kwa hatua! #micahmuhoho #coreworkout #homeworkout #kitambi #mazoezi

Micah Muhoho
Micah Muhoho
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 22 November 2026 11:26:12 GMT
100
13
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @micah.muhoho, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About