@tumaini_pr_tv: MANGE KIMAMBI AANIKA MPANGO WA SAMIA KUMPOTEZA MWIGULU NCHEMBA - Dada wa Taifa - #tumainiprtv #tboyliontz #hapaninyumbanikwawote

Tumaini pr Tv
Tumaini pr Tv
Open In TikTok:
Region: CA
Sunday 22 November 2026 14:23:05 GMT
42357
1824
33
37

Music

Download

Comments

seif.bhaisa
Seif bhaisa :
Wewe taahira, angekuwa hamtaki angemchaguwa
2026-11-22 18:01:32
7
user80520936274830
jonte :
uyu sio muongo kwan aukumbuki juz tu alisema lisu atafugwa miaka mitano
2026-11-23 16:54:01
4
user8374907957315
user8374907957315 :
Anayo ongea mange muwe mnamuelewa. siyo anakurupuka jaman
2026-11-23 05:11:53
7
jamilawabakarihamii
Mrs Bakarihamii 🌙 :
Nashida ya laki mi
2026-11-23 02:41:29
0
mankamunisi
mankamunisi :
Acha kuchonganisha Viongozi wetu!
2026-11-23 04:54:10
3
stimulant10
Dr. DK :
Semeni kwa sauti kuu " Hongera mh. Rais Samia kwa kutuletea katiba mpya"
2026-11-22 20:12:22
3
lizzfridah
Lizz Fridah :
kwani makamu wa raisi aliye jiuzulu alienda wapy
2026-11-23 03:46:18
1
mr.sportztz
mr.Evans :
huu uongo mkubwa ,Rais na Waziri mkuu hawana tofauti yeyote .. nikuulize swali, waziri mkuu na na aliyekuwa makamu wa Rais ,Dkt Nchimbi ,nani anacheo kikunwa? aliondolewa Ndugai? akaondolewa Nchimbi ashimdikane Nchemba?
2026-11-23 07:20:33
1
brasiomsugu
Brasio Msugu :
uongo!
2026-11-24 03:07:08
0
kaitesi_wety
Kaitesi wety :
tunajua ilikuwa geresha tu
2026-11-22 17:32:50
0
user1814651539807
user1814651539807 :
kama kweli tutahoji haraka tena serikali haitoe taarifa kabisa hizi ni taarifa mbaya!!
2026-11-23 06:15:14
0
staminaboy3
staminaboy :
2026-11-22 17:55:16
0
user4951065749959
user4951065749959 :
WAAMBIE WATU KUWA RAIS YUKO ETHIOPIA
2026-11-22 17:19:59
0
anney4821
William :
Nguvu ya damu walizomwaga bila hatia haitawaacha salama
2026-11-22 17:02:37
5
omari.basiri4
Omari Basiri :
Samia ni muislam na anajua kila ubaya atakaofanya ataulizwa mbele ya mungu.anaweza kuwa na makosa ya kibinadam lakini hii ya kumua mteule wake ambaye anaweza mtengua.pia ukumbuke Samia ana nguvu ndani ya chama ...muulize ndugai ...nchimbi mkishindwana anakutoa Tu. Hii taarifa siyo ya kweli
2026-11-23 00:53:29
1
pendo.hassan7
Pendo Hassan :
🤣🤣🤣 watajuana wenyewe
2026-11-22 15:40:37
1
mwanunuissakiyung
Aysha :
Mimi nawapenda wakichokana wanapeana Sumu tu watajuana wenyewe.
2026-11-23 09:37:10
0
msafirimnemba355
Msafiri Mnemba :
Wenawe tumekuchoka kiiiiilasiku nijipya ivi umesha count ushamtaja uyu mama marangapitoka achaguliwe mana kiiilasiku nomamawawatu toooooomuch now
2026-11-23 09:30:12
0
joseph.k.dominic
Joseph dominic :
Yani wewe tumekuchka
2026-11-24 05:36:31
0
nurya2023
Nurya2023 :
Sasa anawataka kina nani???basi wakae nyazifa zote
2026-11-22 17:38:45
0
user32555832819375
user32555832819375 :
mmh yaliyomkuta nchinbi sipuuzi neno
2026-11-22 20:02:39
0
tynest56
fine as wine :
wamalizane tu
2026-11-22 17:37:13
0
user1814651539807
user1814651539807 :
KUNA JAMBO IWEJE WAKRISTO WOTE ,TUJIULIZE NJOONI TUZAME ILIANZA KWA MPANGO NCHIMBI POLEPOLE TUNDU LISU wote hawa ndiyo watanganyika ni kwa nini why??
2026-11-23 06:14:09
0
rosianyari
Rosia Nyari :
mwigulu c fisad mwenzao au
2026-11-22 15:53:48
0
masele.boniphase
Masele Boniphase :
❤️❤️❤️
2026-11-22 14:43:47
0
To see more videos from user @tumaini_pr_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About