@officialruby_: Rangi za vyakula zina ujumbe mkubwa kuhusu afya zetu! Kila rangi ina virutubisho na viambato vya asili vinavyoweza kuchangia ustawi wa mwili. Ni muhimu kula vyakula vya rangi tofauti badala ya kuzoea aina moja tu. Usile kwa kushibisha tumbo tuu..kula kwa kuupa mwili wako mahitaji yake. Afya bora huanza na uchaguzi wako wa kila siku. Follow Neralabs ujifunze zaidi kuhusu afya na ustawi wa mwili wako !! #Neralabs #AfyaBora #LisheBora #HealthyLiving #NutritionAwareness

Neralabs_Tz
Neralabs_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 22 November 2026 21:31:50 GMT
3820
155
4
24

Music

Download

Comments

mamahusna47
mamahusna47 :
asante sana
2026-11-22 21:36:37
0
veronicagwimo
Veronica :
jamn jamn karembo nakupend mm
2026-11-22 22:56:28
0
2478suji
whatner👔 :
kama unarap hivi,ili tumekuelewa
2026-11-23 04:06:30
0
daauser6
da_user23 :
🥰🥰🥰
2026-11-23 03:17:17
0
To see more videos from user @officialruby_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About