@gibsonernest29: Ifike mahali Manchester United iwaonee huruma hata mashabiki wake itakuja kuwaua kwa presha mpaka sasa ipo nafasi ya kushuka daraja na Diogo Dalot ni yule yule hata aje Carlo Ancelloti kuifundisha United. Anyway wamepoteza kwa mabao 4-0 baada ya kuzidiwa kila eneo na wamecheza wakiwa pungufu tangu dakika ya 8 baada ya Leny Yoro kupewa kadi nyekundu. #liverpool #manchester #manchesterunited #epl #creatorsearchinsights