sasa kanin aingie humo yan hapo hata trecta hawez pita alafu unapitisha hio
2026-11-23 10:26:54
0
Mr :
wapiiyo mzee
2026-11-23 07:30:07
0
GODY MNYAMA :
du pole mwanangu
2026-11-23 06:55:59
1
RealLife✌️🇹🇿 :
hii ni uongo
2026-11-23 11:04:52
0
Ubena1official :
bos anajua lakn
2026-11-23 10:50:40
0
jvn252 :
AI hii
2026-11-23 11:18:44
0
chaton :
hapo mpaka greda hakuna gari ya kukuvuta ndugu omba jua likuje
2026-11-23 10:16:35
0
user8484jerryz :
huko umenichanganya
2026-11-23 09:51:23
0
R50 :
Kama mm ndio boss kazi hana gari hata mwaka bado
2026-11-23 08:38:21
0
Bob Rich Tz :
umeemeeeee
2026-11-23 08:11:23
0
Godfrey gwilasa. :
du
2026-11-23 10:17:33
0
Patrick Benedict :
noma
2026-11-23 06:42:47
0
Othberty Douglass :
ai
2026-11-23 08:16:04
0
eliasnzaly :
Ai Generation
2026-11-23 09:36:48
0
steve trucker TZ :
Nikuvute na HOHO?
2026-11-23 09:06:16
0
Billal Yombe :
Kaka pole kwanza hapo sasa tusubir kiangazi nitakufata nije nikuvute na zuchu yangu ila road da utasema Ai kumbe real life ya road life
2026-11-23 11:06:32
0
Mzoba Japhali :
kamzozo
2026-11-23 10:29:39
0
Viligius Nindi :
siyo kwer ww ukuona. tope cyo paku ingiza Scania. hapo
2026-11-23 10:12:37
0
hmz94 :
Apo hakuna haja ya kuangaika au kuwaza kulitoa,ni kuchukua begi,spana leseni kumuomba mtu aje anibebe kwenye tope hilo kifuatacho NYUMBANEEEEE
2026-11-23 10:39:48
0
scus :
kafata nini uku
2026-11-23 09:57:00
0
sniper..23 :
weee mm siingiz gar hpo aisee
2026-11-23 10:02:41
0
wacentrolzone :
Paka kiangazi iyo
2026-11-23 11:17:46
0
Mike_Van_Ngeti :
Kama ni kweli sio AI basi acha polisi waendelee kutukata point kwa ujinga kama huu fikiria kama ingekuwa gari lako utalipeleka kweli kwenye hii barabara
2026-11-23 11:25:39
0
official shekh :
jaman mnge mtowa uyu
2026-11-23 08:12:00
0
To see more videos from user @michaelmangita, please go to the Tikwm
homepage.