@lausmediatz: #Nandy amejibu tuhuma alizopewa na #Zuchu huku akimtaka kuwa na heshima na familia yake na mume wake

Laus Media TZ
Laus Media TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 November 2026 04:33:44 GMT
285828
23622
1333
964

Music

Download

Comments

dadawaa01
🎀🫧ᴰᵃᵈᵃʷᵃᵃ🫧🎀 :
Upande wa nandy tunakaa wapi 😁
2026-11-23 06:11:42
2337
chusse_13
CHUSSE🤍🇨🇦 :
timu nandy tujuane😁🥰
2026-11-23 06:39:27
1287
tatujuma100
Tatuu💕💕 :
timu nandy mko wap[Heartwarming]
2026-11-23 06:34:25
562
stamili.dobi
stamili dobi :
team zuchu like hapa😂
2026-11-23 06:14:16
1066
its.viola15
it's viola😜 :
nandy ni mwanamke anayejitambua sana nimeligundua iloo
2026-11-23 05:36:36
1767
nimme.4
.......... :
Me ndo naiona hii saa 3 asubuhi 🥺
2026-11-23 06:00:28
1080
rehemajohn711
Angel :
Nandy usibishane na mtu alokuzidi kila kitu
2026-11-23 07:10:49
204
devine.mercy34
Thynk..lky me :
jmn mimi zuchu simpendi yeye na nyimbo zake
2026-11-23 07:25:09
291
gracemwakah
grace mwaka :
Mimi nipo na nandy bwana hata kama anamadhaifu yake kwasababu ni mtanganyika mwenzangu
2026-11-23 06:06:24
347
yatimawatktok
sha❤️na❤️ya ❤️ :
team nandy tujuane ❤️❤️❤️
2026-11-23 06:24:37
312
mslizie0
Aiem Lizzy🍒🍓🌸 :
Team nandy tuko wapi
2026-11-23 09:07:48
48
unaatz
UNAA TZ🦋🦋 :
Upande wa nandy tupo wapi
2026-11-23 07:05:31
80
callmeappie
👣Call me Appie❤️ :
binafsi kati ya nandy na zuchu nampenda yamii kwasababu phina ana sauti nzurii sana😂
2026-11-23 09:41:21
20
mwasiti5299
🌸it's mwaa🫂 :
nandy tuko pamoja kwenye hli😂😂
2026-11-23 09:56:30
10
jacklin.babolio
Jacklin Babolio :
nandy yupo humble san
2026-11-23 10:23:54
0
king_bs008
BS_08🫆 :
TEAM NANDY😁
2026-11-23 10:50:01
3
mishiviry
@deepsin💞 :
Kunanini jaman[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-23 10:23:49
0
chubby_909
Mah🫣 :
uku ibraah vs marioo uku zuchu vs nandy [Tears of joy]🙌 pambee
2026-11-23 09:45:27
0
cairapipe
caira pipe🦋 :
Nandy Akili Anazo na busara🥰
2026-11-23 08:29:31
35
neyg015
neyG :
nandy yupo vizurii bhana🥰😂
2026-11-23 05:36:44
164
user1481223685594
🥥🤐 :
upandee wa zuchu tukae wap
2026-11-23 06:59:19
100
minah69256
mimi ndelwa :
alieiona leo 23/112026 sa tatu asubh
2026-11-23 07:01:03
80
winteynx__
winteynx__ :
Hakuna ugomvi hapa kuna jambo linaandaliwa
2026-11-23 06:04:13
303
mnyelamba
Mnyelamba OG💋💋💋💋 :
mimi na nandy damu damu🥰
2026-11-23 08:34:09
7
grace2025868
GRAY bella :
mtandao umejaa zuchu na Nandy leo
2026-11-23 05:13:44
165
To see more videos from user @lausmediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About