@radiomariatanzania: 🎥 BWANA MFALME AMEKETI MILELE Karibu utazame wimbo wa "Bwana Mfalme Ameketi Milele" Ulivyoimbwa na Vijana wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Yesu Kristo Mfalme, sambamba na siku ya Vijana Ulimwenguni, Katika Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Kanisa Kuu, Jimbo Kuu Katoliki Arusha. Misa Takatifu Imeadhimishwa na Mhashamu Isaac Amani, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha. Endelea kuisikiliza Radio Maria Tanzania popote ulipo: 📻 Same – 101.1 FM 📻 Arusha – 106.5 FM 📻 Moshi – 107.3 FM 📻 Mbulu – 95.1 FM 📻 Rombo – 97.9 FM. www.radiomaria.co.tz #RadioMariaTZ #KapulaMama2026 #UpendoniUshindi #NambaYaKampuni100200 #KumbukumbuNamba4