Jamani , nikweli zuchu anacho ongea
Diamond alitoa wimbo na mzee KOFI, Nandy nae akatoa nae. Zuchu akatoa wimbo na Joe boy Nandy akatoa nae pia, mi nashindwa kumwelewa Nandy kwakweli 😂😂
2026-11-23 07:55:46
21
escoba og :
mbona zuchu yeye asemi
2026-11-23 06:48:53
26
Arianah👶 :
uncle t amuita nandy maria clara
2026-11-23 07:31:40
12
L :
nilichogundua zuchu alikuwa anamfuatilia nandy kimya kimya
2026-11-23 08:52:19
3
🌸Ney wa Ivan(son)❤️🌸 :
Sahv kuna battle hizi ✌️tungoje ya 3 mana hii wiki khaaa