@iamdebby255: Ilaaa😂😂😂 #tiktoktanzania🇹🇿 #itsdebby255 #fyppppppppppppppppppppppp

iamdebby255
iamdebby255
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 November 2026 06:05:44 GMT
40773
5839
258
238

Music

Download

Comments

judithallan210
judithallan210 :
hapo kwenye kufungua mlango hata aliefungua haonekani 🤣🤣🤣🤣
2026-11-23 08:57:47
87
stellah.luoga3
Sierra💙 :
Ngachoka mimi😂💔
2026-11-23 07:15:52
28
doreen08045
DOREEN :
Debby enzi Zenu zipi 😂😂😂?
2026-11-28 12:01:24
0
stylesoundbites8
sTyleSoundBiTes✨️ :
mm Nina week kwenye ndoa, Jana nimerudi nyumbn nikamuuliza mume wangu ww ni nani😂 nimesahau kama nimeolewa
2026-11-23 17:38:53
35
bethypol123
bethypol :
Mm hata huyo mtoto sina na siulizi yuko wap hata akilala huko siwazi🤣
2026-11-23 06:35:47
31
zaisha359
Zaisha Dimpoz :
Mim mpk Leo namsubir tule wote akifika namfungulia mlango nampokea
2026-11-23 15:21:47
12
maryannejames30
Marianne :
We n mchonganish San Debby 😂
2026-11-26 17:00:27
0
suhayphat_sheiza
suhayphat_sheiza :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]Labda nimchome kisu sio kumkumbatia🤣🙌
2026-11-23 07:47:44
4
user8530330541680d
min gambi :
eeeeeh watwambie nini kimewasibu
2026-11-23 06:26:46
7
galactico_50
Rock star🔥 :
Na kula alikuw hali mpaka ajee wale wote😂😂
2026-11-23 06:12:30
8
clensclevianclavery
[email protected] :
Si wakamroga akawa hasikii simu zang kila nikimpigia mpaka arud nyumban usiku ndo anaziona missedcall
2026-11-26 12:30:38
1
theopistery.emanu6
Theopistery Emanuel :
Nimekuja kugundua kila mtu atalia kwa wakati wake mm nishalia na first born wangu Brian pamoja na kula chakula cha usiku saa 8 usiku nimeachwa jua lina waka saa 7:00🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-24 17:51:43
4
dancilajackson
Dancia :
huyo ni mimi kabisaa
2026-11-24 13:58:00
0
supercute457
supercute❤ :
ulezi unachosha jmn umuwaze mtoto na mda huohuo umuwaze mme aaah miili inachoka mda mwingne sio kwamba simpendi nampenda ila nimechoshwa na bao lake😂
2026-11-23 17:20:10
7
nessyofficial6
Nessy-Official🥰💎 :
iyo tabia ya kufungua mlango nakukimbia niyangu😂😂😂nikifungua nakimbia balaa,sitaki kuandaa chakula 😂😂
2026-11-26 12:34:16
1
aneey111
Annie_23 :
hahaha!!!. debby kwa enzi gani wwe jamni🤣
2026-11-23 06:16:34
5
officialmishy22
officialmishy❤️💞 :
ila debo we hujui tu😁
2026-11-24 16:09:45
1
itsnaomitz255
itsnaomi.. :
😂😂😂😂
2026-11-23 19:39:50
1
lydya.mtega
lydya mtega :
🤣🤣
2026-11-23 19:19:40
1
mama.latifa11
Minnah :
Ngachokaa mim
2026-11-25 07:56:24
1
agness.michael92
Mrs. Kyuma🫂😍 :
wewe unajua kabisa majibu halafu unauliza... UNANIUDHI😂😂
2026-11-27 06:26:16
1
shamradaffi
ff :
Mbna unaniongelea au unanifatilia maisha yang
2026-11-24 06:39:15
2
shabrilliant
brilliant said :
Na wala hutujui aliondoka amevaa nguo za rangi gan sku akipatashida cjui tajibu nn😂😂
2026-11-24 09:48:48
2
mahy.mubarack
@mhy mubarack :
mimi hata sikuyakwanza alikuta nimekula
2026-11-26 15:04:24
1
spicynbby
Spicy💫🌹💮 :
Ndo uniseme 😅😅😅
2026-11-23 07:12:18
2
To see more videos from user @iamdebby255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About