cyo kukojoa tu unaamushwa ata saa 8 ucku wanataka maji yakunywa ukirudi tu kitandani wanakwambia njoo utuwashie taaa giza naota ndoto mbaya nyie hapana
2026-11-23 08:01:38
2
RoseBeauty :
😂😂 yan ulikua unavisema vitoto vyangu kabsa
2026-11-23 07:16:33
3
Mss.Irene🌹 :
Niache jmn napenda mwanangu kuliko ht huyo mwanaume
2026-11-23 07:20:30
2
Esther _Bankana🦋 :
nimekoma
2026-11-23 06:33:02
3
mamaaa :
me vimevunja rimoti hat wiki moja ya likizo haizaisha nimekoma mpa shule ifungue [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-23 08:04:20
1
CROWN PRINCE OMMY :
its true that broh ukweli kbx 😂😂😂
2026-11-23 07:46:46
3
Mamu Ivana :
niache nachoka mm
2026-11-23 08:05:49
0
Johar :
jamn we daaaaah
2026-11-23 08:44:12
0
pz :
mtoto wangu anaongea mpaka basi
2026-11-23 08:31:17
1
Miss P🩷💫 :
NATAFUTA MARAFIKI 😂😂
2026-11-23 08:17:56
0
pilly :
yani mimi nimenunua sofa juzi tu likizo hii ata mwezi awajamaliza wamechana meza ya kioo imevunjwa chupa ya chai imevunjwa nachanganyikiwa mimi jamani😳
2026-11-23 07:41:19
2
Lux Mund :
sina watoto na huwezi nishawishi kuwa ni malaika
2026-11-23 07:51:37
1
Dr Bilha :
Nakwambia hulali 😂😂😂😂
2026-11-23 07:41:05
1
user990808490333 :
ndo hivo kama ulijua vile
2026-11-23 07:21:32
1
Doris Tarimo :
Nyumba mda wote kudeki
2026-11-23 08:22:41
0
AQUILINA ALEX PAUL :
mm wangu wafanye t wanachota nitavikanya kadri niwezavyo ila kwangu watakuwa malaika miaka yote they are my first priority
2026-11-23 08:48:05
0
Angell💕 D :
🤣🤣🤣 dah umesema ukweli
yani nilikiwa peke angu nataman watoto
saiv nataka niwarudishe kwa bibi yao
2026-11-23 08:47:33
0
No Love No stress :
hhhh
2026-11-23 07:31:18
1
Glowfit💫✨ :
2026-11-23 06:31:10
1
zamda bakari :
wangu wakike lakini kila siku akosi tukio la kumia
2026-11-23 08:42:31
0
Silvia Moses :
watoto Raha Sana aise
2026-11-23 08:46:07
0
Mima :
yan wangu kabisa hao acha tuu hpa naongea kila wakat na hii likizo nataman iishe tu
2026-11-23 08:53:16
0
QUEEN TRIDAH :
Mm betri za limoti kila siku jioni lazima niende nazo😁😁😁😁😁
2026-11-23 08:46:06
0
methodia :
😂😂😂😂
2026-11-23 08:56:23
0
To see more videos from user @matabe._, please go to the Tikwm
homepage.