@cawabemedia_: Waziri wa Sanaa, Michezo na Utamaduni, Mhe. Paul Makonda, amewaalika wananchi kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania kujitokeza kwa wingi kushuhudia onyesho kubwa la mwanamuziki nyota kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Fally Ipupa. Onyesho hilo linatarajiwa kufanyika Novemba 28, 2026, katika Viwanja vya Jeshi vya Lugalo Golf Club, likitarajiwa kuwa miongoni mwa matukio makubwa ya burudani yatakayowakutanisha mashabiki wa muziki kutoka maeneo mbalimbali nchini. Makonda ametoa wito kwa Watanzania kujumuika pamoja katika onyesho hilo, akieleza umuhimu wa kujitokeza kushiriki tukio hilo la burudani litakalowaleta pamoja mashabiki wa muziki wa ndani na nje ya nchi. Fally Ipupa ni miongoni mwa wanamuziki maarufu barani Afrika, anayefahamika kwa nyimbo zake zinazopendwa na mashabiki wa muziki wa dansi na Afro-pop katika mataifa mbalimbali. Onyesho hilo linatarajiwa kuvuta mashabiki wengi kutokana na umaarufu wa mwanamuziki huyo na nafasi yake katika tasnia ya muziki barani Afrika.
cawabemedia
Region: TZ
Monday 23 November 2026 07:23:21 GMT
Music
Download
Comments
King👑JR :
tusio na hela tunadharaulika sana kwenye hii nchi
2026-11-23 09:23:11
42
Da kijumbe :
Ombi langu tuu watuwekee kwenye AZAM TV
2026-11-23 09:43:45
21
Chris :
iyi ni matusi jamani😃
2026-11-23 11:47:30
5
adel key officiel ☑️ :
Na uliza kwa mara ya mwisho nyimbo mnazijuwa au mtamuacha aimbe pekeyake kaka wawatu 😂😂😂
2026-11-23 17:10:32
10
Mkomongo :
naomba kuhuliza k2 hiyo show ya fally ipupa imeandaliwa na serekali au fally ipupa mwenyewe ndio anaandaa show yake kama ni fally ipupa inakuwaje makonda anakuwa na kiherehere kwenye show ya mtu why waziri anakuwa mtu wa kuonekana kwenye mitandao kila siku nchi haina viwanja vya kutosha taifa star haipo vizuri timu za ligi kuu nazo ni tia maji tia maji lakini yeye mara umuone kwenye miradi ambayo haimuhusu mara sijui umuone wapi kweli kiongozi natakiwa kuwa hivyo
2026-11-23 09:37:36
5
sarahwa ibrah :
kwaiyo sisi maskini hatuchangii taifa eeh mbona kila mwezi mnachukua 2000 yetu ya ulinzi na 3000 ya taka eeh au huo sio mchango
2026-11-23 11:56:43
4
Michael | Research Tips :
ETHICS ETHICS ETHICS 🙌🏿🙌🏿
2026-11-23 09:19:23
4
𝓯𝓻𝓪𝓷𝓴 𝔧𝔯 🦾🥷 :
a man of very big pride lives paradise life
2026-11-23 09:56:27
5
Angel :
Muheshimiwa Naomba unilipie na mimi
2026-11-23 09:54:01
4
@Nice outfits👕👗🛍👒👜 :
mm najuwa kula maisha ila mia mbov sina naombeni siponser😅😅😅😅
2026-11-24 07:49:18
1
Valentin🫶nbn 🦅🦅🌏 :
The King
2026-11-24 15:00:47
0
DAR PICHA SAFI🇹🇿 :
akiongea mwijaku na waziri tofauti inakuwa nini?
2026-11-24 07:09:17
1
Ray macake :
nakuja chap
2026-11-23 10:09:25
3
Robby robert :
Nmeona dalil katikat ya show ikaanza CCM oye
2026-11-23 20:12:13
1
Yusuf dlk :
Mbona me nampenda na sina ela😂
2026-11-24 03:36:56
1
Jenipha Masamu :
kumbe na mm nina ela
2026-11-23 16:54:19
1
BUSHIRI tjr :
tokoss vraiment
2026-11-23 18:21:57
1
isaac mukoko 10 :
Aigle 🦅
2026-11-23 21:10:57
1
kidbillionaire3 :
2026-11-23 10:21:14
2
MADAME❤️ :
Wakunichangia 🥹
2026-11-23 16:47:46
1
prince kigoma +255🇹🇿 :
baba mimi. nina piki piki naomba nipate steca 🏍️🇹🇿
2026-11-23 14:39:11
1
mishyAbdalh :
sina hela baba nikatie tiket
2026-11-23 11:17:46
1
yohana magembe :
hiyo niyamafisadi sio ya watu wakawaida mnaowaita maskini
2026-11-23 12:43:04
1
dorice😘 :
I cant wait 🔥🔥💕
2026-11-23 10:20:10
2
Scott madini :
Itafanyika wap
2026-11-23 08:50:40
2
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm
homepage.