@katango79comedian: UTAUWAWA😁😁😁😁#arusha #tanzania🇹🇿 #viralvideo #viral #fyp

katango comedian
katango comedian
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 November 2026 07:27:57 GMT
4908
523
19
23

Music

Download

Comments

sudi_hosseni
Sudi_H :
natamani niweke status ila naogopaaa😂🤣🤣
2026-11-23 08:24:18
1
ibra.tz39
ibrah :
mm nilimwambia boss wangu ata usiniongezee mshahara ila tuishi tu kama familia
2026-11-23 07:35:08
1
cool_ney2
cool ney :
kuna wat 180000 huku
2026-11-23 08:57:05
0
limmybaby8
limmy💋 :
naomba kuuliza hii adi kwa mawakala ya mambo ya pesa wanatakiwa kulipwa hy hela ilotajwa na mama😳
2026-11-23 08:20:33
0
isaka.baseke
Isaka Baseke :
nakubar sana
2026-11-23 07:30:38
1
foibe39
Cleopatra❤️ :
moja kwa moja status😁
2026-11-23 09:00:09
0
erickelibarick1gmail.com
Official mjesh :
boss wang
2026-11-23 08:14:28
0
papy8.com8
pappy dady🔥🎖 :
si boss wetu kashatuambia mapem sana
2026-11-23 08:38:17
0
cute_lightness
Mrs.smile💖😊 :
Kumbe mlikuwa mnalipwa laki tatu mbona mimi silipwi hvyo
2026-11-23 08:37:40
0
jipainter
ji :
mbona mi sisemi 😁😁😁🤭
2026-11-23 08:12:46
0
g.rawat.the.super
G.rawat the super star :
wakwanza leo😂
2026-11-23 07:31:01
0
mimah.qute3
Mimah Qute 💓🧚‍♀️🫂 :
Me bado hajaniongeza jaman sijui niweke status aone kabisa
2026-11-23 08:18:07
0
prishaanjera
prisha :
lakini wew
2026-11-23 07:34:41
0
user9307975444106
Shamm :
haya umefikiwa sasa kazi iendelee
2026-11-23 07:32:08
0
gidion.kihumbe
Gidion Kihumbe :
hakika family
2026-11-23 08:25:30
0
official.dube.tz
official dube :
meeee niliweka status kaishiaaaa kuview na kuweka emoji hiii dhu hii 🤣🤣🤣 dhu
2026-11-23 08:20:37
0
user7697004612528
cecy cutee :
uyuuyu anae nlipa af60 au kuna mwingin
2026-11-23 09:00:12
1
tshingwathene
Tshingwathene :
oya mkisafiri hii likizo usikae siti ya dirishani leo nimepigwa kwenzi na mpiga debe kisa konda hajampa hela yake ya kujaza gari😂😂😂😂
2026-11-23 08:11:45
0
gallyelline
Nino🧚❤️ :
Ila kwel😂😂
2026-11-23 08:15:52
0
capricornenergy4
Capricorn Energy ♑ :
@Gnanadp @Nana💕Leonard💕 @##FIPALAND🙌CHANYINA 😂😂😂
2026-11-23 07:31:58
1
cute416688
Chioma :
😂😂😂
2026-11-23 07:32:51
0
eunicennko8
(^-^)nnko's daughter 💫💯 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-23 07:30:38
0
user2105298885817
Missing my mum :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-23 08:55:52
0
To see more videos from user @katango79comedian, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About