mwambie bwana walid mana ye ndo kasema tuna kula vlzi
2026-11-23 10:29:51
0
ibnisaalim :
bangulo napajua nikweli kabisaaa
2026-11-23 08:25:51
1
ibrahimmistaazam :
kuna watu wanampinga uyu bwana kwa mifano yao lkn anachosema uyu nikweli labda kama tumeamua kubsha
2026-11-23 17:48:24
0
Diki :
Kisemvule kunasehem panaitwa machimbo, mwalimu wa madrasa analipwa elfu40 kwa mwenzi mpaka akaniambia mi naacha kanzi yakufundisha hali ngumu anasema, kibaya zaidi anasema watoto wazazi hawalipi Ada
2026-11-23 10:20:07
0
user8876905154335 :
Tondoroni siyo Dsm ndg huko ni kisarawe mkoa wa pwani
2026-11-23 13:42:50
0
bakar :
😁😁,USTADH MIENIMEKUELEWA LEO UNAMJIBU USTADH, MMOJA ALIIJALIBU KUIPANGUA HOJA UGUMU WA WAALIM WA MADRASA, LEO UNAMJIBU KWA EVIDENCE HONGERA , UJUMBE UMEMFIKIA,
2026-11-23 15:36:35
0
Juma :
mm namuelewa uyu analosema anaedai au jiulize kiwango cha elim ndio kinalingana na ada yake
2026-11-23 09:42:24
0
Swaleh Abdulrahma575 :
Wanaolipwa sio asilimia 80 ni asilimia 95 walimu hawalipwi
2026-11-23 10:44:08
4
abubakarkishoka :
asante maalim kwakutusemea Allah akuhifadh wallah
2026-11-23 19:26:13
0
mpatenyie :
nikweli kabisa
2026-11-23 10:09:15
0
mamba :
kataja mpaka visegese? daah kweli unazurula aisee..
2026-11-23 15:37:56
1
bayuusaidy1 :
Wakati huohuo unasema walimu wa madarasa hamsaiduwi mfano mwalimu ukiwa umepewa gari na mja mwema sio mwalimu mzuri ha hapohapo unataka msaidiwe unapuyanga mzee
2026-11-23 10:12:39
3
Omary mtulia :
walimu wamadrasa walimu walimu washule zamsing pia hawana thamani kabisa .