@bongo_media: 2026-11-23

BONGO MEDIA
BONGO MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 November 2026 08:08:22 GMT
64489
5561
96
71

Music

Download

Comments

fatinamhidini8
DAUGHTER OF GOD 💞 :
ndoa ya zuchu ndio ndoa sasa😂😂 tunachojua anandoa🥰
2026-11-23 09:37:43
156
samirsmg5
Samir Sdk ✅ :
Ndoa yenye garama ndogo ndio yenye nataka
2026-11-23 10:28:20
15
_negow1
Negow❤️🦋 :
Na nandy mme wake anampenda na yupo so proud na mkewe kwahy watu wasijambe kisa nyie?
2026-11-23 10:15:04
16
respicajuventus
respicajuventus :
ndoa yako itadumu kiliko maelezo. Mungu azidi kukutunza Zuchu. una akili nyingi sana.
2026-11-23 09:40:01
93
suzyclassic6
suzyclassic :
mbona sauti sio ya zuchu
2026-11-23 09:29:06
16
ziakidspoint
Zia kids point :
Ila twende mbele turudi nyuma au basi twende tu mbele
2026-11-23 10:40:03
12
sifran.wasim2
ROHAAN AHMET :
ila mimi napenda ndoa ya kimya jani daaaaaaaa, nani aje tukafunge jani
2026-11-23 09:28:00
21
gracefrank212
Grace Frank :
kitu ambacho nawaza kwann sasa kila mtu ana kwake au kuna ndoa za hv mi ndo sjui?
2026-11-23 10:15:25
5
shadyapor
shadya pori :
jmn Sauti kama ya khadija kopa🥰
2026-11-23 09:57:00
10
aiembellah
🫧..𝐀𝐢𝐞𝐦 𝐁𝐞𝐥𝐥𝐚𝐡🌺 :
Team zuchu....🫂❤️‍🩹
2026-11-23 09:43:55
26
wabustep
wabu step :
ata mi napenda iyo ndoa IPO siku ntampgia cm shekh
2026-11-23 10:34:19
4
madame.d387
madame d :
ayo maneno umebugi sana et mahali nilipewa mkononi
2026-11-23 10:35:44
3
aminakhamisi940
MRS SAHIL❤️‍🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Kikubwa ndoa tunayo alhamdulillah
2026-11-23 09:38:49
4
muznath3
wisa746 :
zitatoka tu siri zote
2026-11-23 10:39:55
3
salomebb39
Salome bby25🫶❤️ :
bona mimi sijuwi kama umeolewa
2026-11-23 10:39:44
0
titny3
titny3 :
mmmmmmmh wengine hatujaon ndoa ya zuchu
2026-11-23 10:18:54
1
sheis.asmah
Asmah🥀 :
tumetoka ya ibrah na marioo tumeingia ya zuchu na nandy 😂😂😂
2026-11-23 10:42:54
0
esymjapani
Esy japaniz 775 :
respect my Nandy umelelewa
2026-11-23 09:40:27
10
zay.fashion
Zay Fashion :
Masha Allah Zuchu ni mke ace na makuu♥️🥰😁
2026-11-23 09:49:12
3
nanahmfutakamba
Nanah Mfutakamba :
kumbe ameolea ndoa ya mkek nilikua sijuh jaman
2026-11-23 09:25:33
4
user2935269586792
rehema mgawe :
makubwa 🙌🙌🙌
2026-11-23 09:26:15
3
user3233637527578
fifi bby :
ndio mzr n mungu anakuwa inabarik
2026-11-23 10:44:07
1
jamilacute6
Jamila cute 😍 :
hii ndio ndoa sas🥰
2026-11-23 10:39:50
1
user3886147009270
NIMUNGU 2 :
ndoa tunayo na tunatamba nayo 😅
2026-11-23 10:36:50
1
aisha.mrido
Aisha Mrido :
wanadamu hawana jema mtu mlinde zuchu na familia yake
2026-11-23 10:31:44
1
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About