@tatudigitalacadem: Hauhitaji digrii. Hauhitaji kuwa mtaalamu wa kompyuta. Unahitaji smartphone yako tu. 📱✨ Wengi wanaogopa kuanza Affiliate Marketing na kuuza Digital Products wakidhani ni mambo magumu ya wataalamu. Lakini ukweli ni kwamba: ✅ Affiliate Marketing ni kama udalali wa kisasa wa mtandaoni — unatangaza bidhaa za wengine, unalipwa kamisheni. ✅ Digital Products ni kubadilisha ujuzi wako wa kawaida (kama mapishi, ushauri, au uzoefu) kuwa eBook au video fupi inayouzika. Kama unaweza kutumia WhatsApp na Facebook, tayari una vigezo vyote vya kuanza! Njoo ujifunze BURE kupitia WhatsApp na Tatu Digital Academy. Tunakushika mkono kuanzia hatua ya kwanza. #TatuDigitalAcademy #DigitalProducts #AffiliateMarketing #tiktoktanzania🇹🇿 #OnlineBusiness