Haujaisoma Hii Kwa Bahati Mbaya 😊
Mungu akakufungulie Milango Ya Baraka Maishani Mwako 🙏
2026-11-24 20:19:43
1147
grace Jackson❤️🔥🇹🇿🇹🇿 :
Kaka angu alisingiziwa kesi kubwa na wakubwa tulikuwa hatuna uwezo wakushinda kesi mama yangu alifunga nakwenda milimani kusali siku ya 3 alizimia akiwa anashuka tulilia sana usiku wa hiyo siku kaka angu alilusi ametokaje hatujui alivyofika akasema hana kesi ukweli umejulikana huyu Mungu anatenda ukimuita kwahekima😭🙏
2026-11-24 11:56:21
1039
Cafè92 :
and nithing is gonna change
2026-11-24 18:14:43
28
Kenny junior :
kama so mtu wa rohoni hii uwezi elewa mbarikiwe sana Mungu anapenda wanajeshi kama nyinyi
2026-11-24 08:38:34
674
queenanah♉️ :
Kitu kilichopo moyoni mwangu kwa sasaiv nahitaji sehem kama hiyo nilieee😭
2026-11-24 18:03:19
85
child of ligh :
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
2026-11-24 10:18:15
42
Anne :
Dar kuna mlima nikasali Maan ninamengi moyon
2026-11-24 16:00:19
77
🫧Mrs.Charlz.🎀 :
Nataka marafiki waombaji sanaaa
2026-11-24 12:05:44
32
UNIE COSMETICS 🌸💄🛍️ :
Natafuta mlima mmoja mbeya nikalie huko ninamengi 🥺🥺
2026-11-24 13:04:11
60
Miss Tabitha :
ma mdogo angu alivofikisha miaka 31 bila ndoa alienda kushinda mlima kama huu kafunga baada ya mda mchache akafunga ndoa na mchungaji na akaajiriwa👌
2026-11-24 09:59:14
65
MAMA_BOVEN🫥🫥 :
kwanini mjirekodi Sasa jamani ni nzuri lakini mpaka Dunia ijue mpo mlimani au Mungu anatosha kuzijua Ibada na Sara zenu mathayo 6:7 na mathayo 6:6 msalipo salinini kwenye chumba chako Cha ndani na baba aonae sirini atakujaza
2026-11-24 09:32:00
29
TrinityTorriel :
am praying for date 20th next month...May God help me,heal my C's scar give me strength and give me peace.....🙏🙏🙏
2026-11-25 09:33:54
1
Omwana wa kukhu🌈🏳️🌈🇰🇪 :
i think hii ndio place nafaa kua walahi 🙌🙌💔💔sotimetimes life inahiitaji company kama hii aky
2026-11-24 17:17:05
1
gracious :
right away
2026-11-25 10:29:49
1
paulinewilliam10 :
Yote kwa yote jamani Mungu yupooooo
2026-11-24 13:34:54
21
Konji finnest🌹❤ :
I really need this
2026-11-25 06:41:50
1
Mia❤️ :
I love what I see🤭🥹❤️
2026-11-24 12:31:33
2
kinguluila8888 :
Maombi hayawezi badilisha hatma yako,alichokupangia Mungu utakipitia either una Sali au husali.huwezi mfundisha au kumuelekeza Mungu cha akifanya juu Yako,alisha kukadilia kabla hujazaliwa kina apostle,ukiona jambo limetokea ujue ni hatma Yako Wala sio maombi
2026-11-24 11:35:30
5
skyra :
mungu awabaliki
2026-11-24 13:34:19
5
shakelikemusic :
Daa ibada za milimani nazipenda sanaaaa[Applause][Applause][Applause]
2026-11-23 09:18:06
16
Jamu M :
Hii ndio Shida ya government failed system unemployment, poverty,🤔🤔🤔
2026-11-25 10:49:46
5
EVERLYNE :
guys mungu yupo na anatenda 🙏🙏🙏 trust in him
2026-11-25 06:42:30
12
thm_25 :
in this type of prayer Mungu hana excuse ya kutojibu haya maombi. be blessed
2026-11-24 11:02:49
5
user5466162112587 :
nataman npate mlima uku nlpo nkaombee familia yetu mm
2026-11-24 16:30:55
5
totoblanche :
plug me guys .niwapi huku
2026-11-25 10:28:34
8
To see more videos from user @mr_born_again_, please go to the Tikwm
homepage.