@samboy.tz3: Replying to @cassian.tiger.priv #everyone #foryou #millionviewsintiktokvideos #samwelisteven #howdoigetviralintiktok sasa mwingine accoment tumfate

SAMWELI STEVEN
SAMWELI STEVEN
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 November 2026 08:53:25 GMT
41046
5527
472
102

Music

Download

Comments

naaazamaradi
first year🥰🌹🌹 :
nipo chini ya ardhi nakula jogo kfc hmnipt
2026-11-23 08:57:08
26
aishaabombo
Aisha b :
hay me nko kwa bwana yesu huku na tunawakula tu 😂😂😂
2026-11-23 12:27:35
6
loveness_10
loveness_❤️ :
Niko na malaika mbinguni tunakula kuku
2026-11-23 20:28:53
6
edward21158
DIRO :
nipo Iceland nakula kuku kila siku ili nijipoze na barid
2026-11-23 09:24:46
15
kuruthumu.mohamme
chmamy🥰🥰 :
sasa ndo mumbebe na shetani wa watu jaman .mie mbona nipo oman nawala alafu mifupa natupa
2026-11-24 15:56:45
0
christinekendi40
kelvin jessi 40 :
niko apa kucha
2026-11-23 17:08:57
1
user4303254956822kinyuli
kinyul😘 :
huku tanga tunakula Hadi vifaranga😁
2026-11-23 15:20:47
1
man_a1_official
@manA1 :
nipo peponi tunakula maziwa na kuku wa kukaanga
2026-11-24 11:58:45
1
nmbmnnnvvhg
pinklly :
nipi geita naitwa aloi nimechinja 5 kunawageni na nitachinja chilismas😅😅🤣
2026-11-24 09:54:47
1
misslawyer90
It’s Didaah ❤️🙂‍↔️ :
Mm nipooo kilingeni Tunawatoa kafara Nipateeee utajiriiii Tunanyong tu huku tunabonda 🤣🤣🙌
2026-11-23 10:52:35
4
milicentonyango81
Aus :
plasma cool what I'm calling means
2026-11-24 16:15:03
0
harry.kane520
Khanifa Omary :
Nip chanika nakula na ninaelekea kumaliza
2026-11-23 17:49:36
2
claireeee066
Claire Kaari :
niko kenya Leo nina kula kuku😂😂kamuezi nishika
2026-11-23 15:38:06
2
stanslausshebby
Stanslaus Shebby :
amna dakika 30 ya kufika mbeya mkichelewa namla mwenzenu
2026-11-24 06:34:20
1
seifumlanzi
Seifu Mlanzi :
kila siku nawala
2026-11-23 18:14:40
1
dijaah.ommy
dijaah ommy :
napenda sana nyama ya kuku[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-23 12:23:13
0
us061106208560
mrs hussen🔐🥰 :
niko chini ya meza nakula kuku na ugali[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-23 11:31:28
0
ghostrider7482538622017
Ghost rider :
😂😂😂😂 December wacha hifike
2026-11-24 10:17:44
0
user7804908152765
fureki Joni :
a mim sitaki nisije nikafha Bure
2026-11-23 13:59:33
1
chugah255
chugah255 :
Mimi mkumbi nawala kila siku na ninawasubili mje niwale mwaka mpya
2026-11-23 10:49:52
2
selemani.selemani59
Sele 799 :
nipo chalinze namalizia supu🍲
2026-11-23 14:23:17
2
user1773399123385
Ahmad@2012 :
munaonaje naje nanyie nikawafanya kama ivo
2026-11-23 12:10:23
3
davidmwashitete
DAVID MWASHITETE :
jaman chrismass soon tuu kuku oyeee
2026-11-23 11:22:50
1
naomi.shija5
Naomi Shija :
Mimi Niko mwanza nimewara reo niwatamu atari
2026-11-24 10:39:01
1
023macho
Noel023 :
nipo na yesu 2nakula ili yesu apate nguvu yakuludi
2026-11-23 10:54:05
4
To see more videos from user @samboy.tz3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About