@msbippaofficial:

msbippaofficial
msbippaofficial
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 November 2026 09:02:14 GMT
12523
637
53
39

Music

Download

Comments

officialruky
official ruky🥰 :
sheria ya bakwata ndo sahihi kwa Allah sio ya mahkama
2026-11-23 09:53:14
15
machoo_ink
Machoo ink 📌 :
Sijakuelewa na Sitokuelewa..... Ndoa ilifungwa kwa Sharia za Dini na Mke ametalikiwa kwa Sharia ya Dini.... Mahakama inaingiaje hapo.....???
2026-11-23 10:26:13
5
williemnyamwezi
williemnyamwezi :
Mdada anajiamini balaaa
2026-11-23 09:21:32
7
msafiri.haridi
Traveller :
sijaelewa wakat anapewa talaka na bakwata mume wa zaman hakuepo katika utoaji wa talaka?
2026-11-23 09:22:07
3
eliasarwechungura
♡ :
Mtu amuoe X wangu aone😆
2026-11-23 09:59:21
0
mansuralbaghwy1
منصور البغوي :
CHETI CHA NDOA unachopewa na shekhe from bakwata na leseni inatoka Rita. KINAKUBALIKA na kinatambulika na mamlaka zote. TALAKA - kutoka huko huko Bakwata kwanini HAIKUBALIKI Naomba kujifunza
2026-11-23 10:26:19
3
criticalthinker604
Critical Thinker :
Mh.Wakili unapaswa kuwa makini sana unapotoa maoni yanayohusiana na msingi wa Imani fulani. Hata kama unachosema kipo kwa mujibu wa sheria ,bado unapaswa kuwa na namna bora ya kuelezea jambo ambalo linagonga msingi wa Imani fulani hususani za kidini.🙏🙏🙏🙏
2026-11-23 10:08:51
4
mosesdm3
Engineer by Nature :
Kumbe mambo si rahisi [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-23 10:31:30
0
lameck.daniel4
Lameck Daniel :
Ninajua kuna siku kuna kifungu kitanifaa tu tuendelee tu
2026-11-23 09:37:53
0
mahelacosmetics
mahelacosmetics :
Karudi Nimezaa watoto wa 4 kaleta talaka na matusi😂😂👌
2026-11-23 09:39:58
0
phina.beauty.saloo
phina beauty saloon :
naomba unitafute nikusuke kipenz nakupenda
2026-11-23 09:15:43
0
sophiamkalula3
❤Mom Aliyah🌸 :
asante umenishitua ngj niachane na hiy talaka
2026-11-23 09:42:50
0
h.colombia16
HASSANI COLOMBIA :
sasa kama talaka ya bakwata haitambuliki vp cheti cha ndoa yao kinathibitisha ndoa hiyo
2026-11-23 10:28:08
1
mariam.shaksi3
mariam shaksi :
kwani talaka ya mtandaon sio talaka jamani
2026-11-23 10:17:25
2
mwiyao1
Mwiyao :
Hapo sijaelewa mimi inakuwaje mahakama imuamuru huyo kijana kulipa pesa hizo eti talaka haitambuliki kwakuwa haikutolewa na mahakama Sasa swali langu watu wanapo funga ndoa wanafunga na sheria za mahakama au mahakamani nakama siyo hivyo hawa watu wanafunga ndoa wapi na wasimamizi wandoa niakinanani nakama hawa wasimamizi wandoa siyo wa mahakamani je hii mahakama inapataje udhibitisho wa ndoa zawatu haliyakua hawajashiriki na kwanini uhalali wa ndoa usimamiwe na sekta nyingine lakini mahakama inakubali ila sekta hiyohiyo ivunje ndoa na hapo mahakama ikatae hapa naomba kujua kiundani Asante
2026-11-23 10:34:35
1
preciousfarydah
🍯Mom Pp💕 :
Mahakama inaingiaje na mfano ckuwa na cheti cha ndoa cha serikali??????
2026-11-23 10:08:42
1
arcamswaleh
Arqam :
huwezi kielewa mpaka uijue historia halisi ya Tanzania na nini chanzo cha Bakwata... Nyerere hoyeeeeee
2026-11-23 09:36:21
1
ummu.fayfari
ummu fayfari :
dada tuache Kwanza
2026-11-23 10:37:29
0
user9141438511081
mom3/fneeb :
kujiamin mtu wangu 😘🥰🥰
2026-11-23 10:26:31
0
abdallahzahoro7
Abdallah Zahoro :
mnatuchanganya kwanza bakwata sio dini serekali haina dini mahakama haina dini hatuelewi sasa unae sema ni nani
2026-11-23 10:22:49
0
abdullakhamis5
Abdulla Khamis :
Iyo ni kwa TANGANYIKA tu, ila kwa Zanzibar talaka tatu pale pale.
2026-11-23 10:53:33
0
1_sadick
SADIQ :
MAHAKAMA KWA INADINI ?
2026-11-23 10:42:28
0
abalqassim_
Omar Al Farooq :
Ndoa nilifunga mahakamani au?
2026-11-23 10:51:34
0
saadabrembo
saada beauty point :
Sasa kama Tanaka ya baklava haikubaliw je Tanaka anayotoa miume je
2026-11-23 10:39:43
0
amanimghamba
BiG BoSS :
ila wewe🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-23 09:14:27
0
To see more videos from user @msbippaofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About