@lismabeauty.academy: Je, unahitaji kujifunza style moja tu ya ususi bila kulazimika kulipia kozi nzima? Lismabeauty Academy tunakupa nafasi ya kuchagua style unayotaka kujifunza kulingana na hitaji lako. Kwa gharama ya Tsh 195,000 tu, kwa muda wa siku 3 . unaweza kujifunza style moja unayoipenda na kupata ujuzi wake kwa vitendo. Unaweza kuchagua kujifunza: ✨ Wavy Curls ✨ bob romance ✨ Stitch Braids ✨ curl braids ✨ jah locs ✨ Na style nyingine nying za ususi. Hii ni nafasi nzuri kwa wale ambao wanataka kuongeza ujuzi katika style fulani bila kujiunga na kozi nzima. Usiache style unayoitamani ibaki kuwa ndoto wakati unaweza kuja kujifunza na kuimudu mwenyewe! 📍 Karibu Lismabeauty Academy. Tupo Sinza makaburini 📲 Wasiliana nasi 0704005705 Chagua style yako, njoo tujifunze pamoja! #tanzaniabeautyacademy #chuochaurembo #madarasa #lismabeautyacademy #jifunzeujuzi