@dicksonkazola03: #creatorsearchinsights *MWILI WA ANGEL WARIAEL (13) WAPELEKWA ARUSHA KWA MAZISHI* Mwili wa Angel Wariael, mwenye umri wa miaka 13, aliyefariki dunia Novemba 18, 2026, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), umesafirishwa kutoka Dar es Salaam kwenda nyumbani kwao Kijiji cha Nkoasenga, Kata ya Leguruki, Wilaya ya Arumeru, Mkoani Arusha kwa ajili ya mazishi. Angel alikuwa akipatiwa matibabu hospitalini hapo baada ya kujeruhiwa kwa risasi wakati wa matukio ya Oktoba 29, akiwa nyumbani kwao Manzese, Dar es Salaam. #fypシ❤️💞❤️ #ripangel #trendingstory #reelsviral

Mc Wa CHUO 🎙️🎤🎧
Mc Wa CHUO 🎙️🎤🎧
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 November 2026 10:23:32 GMT
172324
12769
684
289

Music

Download

Comments

momounique22
Momo unique🇹🇿🇸🇭🇯🇲 :
Duh uyu jamaa aliona yambeleeni🥹😭😭
2026-11-23 15:37:51
31
patrahmicky
Last Born💕 :
EEEH MUNGU MBONA KAINI ALIPOIMWAGA DAMU YA ABEL ALIIPOKEA ADHABU YAKE PAPO HAPO. KAMA NI TOBA JUU YA TANZANIA TUMEOMBA, KAMA NI AMANI TUMEIOMBEA NCHI LAKINI MUNGU UMENYAMAZA😭😭😭😭🙌💔💔 SI NI WEWE MUNGU WA HAKI😭😭 JIBU BASI MAOMBI YA WAZAZI HAWA 😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔
2026-11-23 11:26:00
603
user2628549181027
khia ❤️ :
nimeelewa kwann mabifu ya wasanii yanaongezeka insta wanatak tusahau hili 😔mtazamo wangu tyu
2026-11-23 13:12:52
303
user6810246513580
Daddy Jay ... alkabulani Man :
rest in peace angel
2026-11-23 13:36:08
0
heavenlight_collection1
Heavenlight Collection__ :
jmn hana mtoto mwngn zaid yakr😭😭😭😭😭
2026-11-23 11:00:08
123
user2281526161443
Bright :
kama kweli MUNGU yupo"atajibu hili pigo kwa kila aliehusika kwa ubaya🙏🙏😢
2026-11-23 11:13:03
229
linah.neycious.ma
🦋 Baby linah👄 🌹 :
😭😭😭😭😭nimelia nimetoneshwa vidonda vyangu vya maumivu upya 😭😭😭😭
2026-11-23 11:29:30
68
anne.issangya
Anne Issangya :
Bora tu wangeendelea kumficha jamani kweli 😭😭😭
2026-11-23 12:09:56
30
user4773029745395
Aztec Tesha :
Hivi mliomuua Angel mnajua kama mmetupa maumivu makali sana kiasi hiki? kesho mtaulizwa kwa Mungu kisa madaraka kweli??? Mungu simama na hii familia na walipie kwa haya waliofanyiwa ameen😭
2026-11-23 11:06:28
94
rajabu.kachira
Rajabu Kachira :
Kuna mdaa mpaka naisi uyo mungu mwenye ayupo
2026-11-23 12:14:34
8
edward.vedastus0
Edward vedastus :
pole father
2026-11-23 15:40:48
0
yasinta.malando1
yasimali💕 :
Mungu ni wewe tu ndio mtetezi wa wanyonge simama na hii familia baba
2026-11-23 15:53:27
7
salomerobert2
Salome_robert :
Painful
2026-11-23 12:04:54
0
dadyg360
Dady G✨🇹🇿 :
Kuna siku tusio tarajia Mungu atajibu maombi yetu kwa kishindo
2026-11-23 12:36:58
27
quricqayna27
Qayna27💞🌸 :
MUNGU najua nina matatizo mengi sana, lakini naomba usikilize huzuni za hawa wazazi kwanza😥😥
2026-11-23 14:29:17
6
flora.william08
Flora William :
poleni jamani 😭😭
2026-11-23 11:59:21
1
user6051691860848
queen allen :
So painful
2026-11-23 12:32:53
1
magreth.samwely3
Magreth Samwely :
daaaaah 😔😔😞
2026-11-23 13:20:51
1
irenekyala
cute baby😍😍 :
Mung amlaze pema pepon😭😭😭😭
2026-11-23 11:31:03
20
user5760981421540
user5760981421540 :
Hamuwezi elewa hali anayoipitia huyu Baba sio MUDA MUNGU UTAJIBU SIKIA MANENO YA HUYU BABA ANASEMA NIACHENI NA SINA MTOTO MWINGINE. NAKUSHITAKIA WEWE YAWE USIYE LALA USIKU WALA MCHANA SIKIA HAYA MANENO AMEEEN🤲🤲🤲
2026-11-23 12:00:45
22
slyimo
slyimo :
Angel amefarik bado mdogo sanaa maumiv aliopitia wakati wakupamban kutibu jeraha lake MUNGU ndie anajua pumzika kwa aman bint mzuri angel💔💔🙏🙏
2026-11-23 11:56:56
8
cute416688
Chioma :
Masikin huyu baba dah
2026-11-23 11:36:11
18
arfa2ben
Ben Arfa⚽⚽ :
Wanasema sisi wanaume ni wagumu kulia, hasa wakati wa misiba. Lakini mimi hakuna jambo ninaloliogopa na kuliheshimu kama Al-Mawt (kifo). 😭💔 Kuhusu kifo cha Angel, nimeumia sana. Huyu mdogo wetu alistahili kuendelea kuishi na kutimiza ndoto zake. Lakini yote ni mapenzi ya Allah. Na kama kweli kuna watu wachache waliosababisha mauti haya kwa dhuluma, basi siku ya Allah italeta haki. Hasbunallahu wa ni'mal wakil — Allah anatutosha, naye ni Mlinzi Mbora. Mwenyezi Mungu amsamehe Angel, amrehemu, amjaalie Pepo ya Firdaus, na awape subira wote walioguswa na msiba huu. Ameen. 🤲🕊️
2026-11-23 11:50:48
24
abrahammollel
abrahammollel :
Naa mungu amlaani aliyefanya Hilo tukio
2026-11-23 12:11:49
6
salhabeauty1
SALHA BEAUTY SALOON :
Msiwapsti jamn mm naogopa
2026-11-23 11:42:15
12
To see more videos from user @dicksonkazola03, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About