uwiii kwanza mi hata iweje hawezi kujua na nikitoka kuchit nakuwaga na mahaba moto kwa mume wangu Yani namfunga pasipo kujua na kuhusu simu mda wowote anachunguza ata sms ya mambo haoni nina simu ndogo ina line mbili zote hajui ata moja na sikai nayo nyumbani naiachaga kazini kwangu naifungia uko uko inakuwa honi nikienda kufungua dukani na hatokuja kujua mume wangu labda niamue mwenyew
2026-11-23 15:34:18
3
valentine :
Mimi nacheat na hakuna kitu kinabadilika labda nitake tu ujue
2026-11-23 14:37:50
17
Babe girl🇹🇿 :
wanawake wa 1990[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-25 21:09:06
1
dayana :
ndo mimi apa[Laugh approved]
2026-11-26 02:06:07
0
T✨💗💞 :
aki mm huwez Abadan,labda nikwambie mm mwenyew 😅😅😅
2026-11-23 13:30:05
20
cute_cute_glow :
sio mwanamke mm[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-25 14:45:24
1
lawana :
aujakutana na mimi master ww nikichepuka ndo nazidi kukupenda ili usijue
2026-11-25 18:20:23
3
Editha Simon :
kwa mm uyu😂😂
2026-11-25 13:45:14
0
@richard Samm :
Wanawake wa TZ wako very honest
2026-11-25 10:21:05
0
💗PINK WITE💞💞 :
hyo ni tabia za wanaumee😂😁
2026-11-24 17:23:22
2
❤️ ❤️ :
Sio hawa wa zama hizi kaka
2026-11-25 20:18:10
0
NILLAH🥰 :
siyo wanawake sisi labda wengine
2026-11-23 17:57:08
1
ariella evans :
Twafanya hayo yote ila tujue tu moto wa milele ni wetu. Mungu atusaidie uaminifu ni adimu Sana
2026-11-25 18:09:37
2
Tecla :
kaka huyo anakua ndo anajifunza labda [Tears of joy]