@afrosate: Tafsiri yake ni kwamba Seleman Mwalimu hakuwa na chaguo jingine zaidi ya kuwasikiliza waajiri wake, ambao tayari walikuwa wamefikia makubaliano na Yanga SC. Kwa mashabiki wa Simba, kama mnataka kulaumu, basi lawama zielekezwe kwa viongozi wenu kwa kushindwa kufikia makubaliano na kutoa fedha za mkopo ambazo Wydad AC walikuwa wanazihitaji, au kwa Wydad AC wenyewe, ambao ndio waliofanya biashara na Yanga SC. #afrosate #yangasc #simbasc

afrosate Media
afrosate Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 November 2026 10:54:13 GMT
17135
850
18
9

Music

Download

Comments

doreenmwacha0
Doreenmwacha gueye :
pole sana sele kwa yaliokukuta
2026-11-23 12:24:57
5
fatumajuma855
FATUMA JUMA :
yuda.pole
2026-11-23 16:17:07
0
rey37776
Rey :
Kwetu hayajapita ! ubaya ubwelaaaaa
2026-11-23 14:37:37
1
joyce.shayo3
Joyce Shayo :
Dogo tama zilikuponza
2026-11-23 17:08:43
0
gabrielkumberi
olsennever :
Ila Chanuo alisema
2026-11-23 19:03:03
0
pendontanwa
Pntanwa :
Tangu Ajiunge na Yanga Taharuki Sanaa Mara hili Mara lile Nini Shida Muacheni
2026-11-23 17:51:27
0
estherjsele2
Estherjsele :
pole yuda
2026-11-23 12:11:19
1
aminadulla0
Grn :
so ata mechi moja uchezi 😊
2026-11-23 19:47:15
0
samson.mushi
maestrow 🐶 :
utajambaaaaaa
2026-11-23 13:18:25
2
joycekasunga
joycekasunga :
Yuda
2026-11-23 15:08:02
0
user4410817616811
Diana joel :
Kwani sele ndonani mbona sijawai kumwona unyaman mie 🤣🤣
2026-11-23 18:58:41
0
samodiso
Fashford queen 👑👑👑 :
🤣🤣🤣🤣kaanza kunyoosha maelezo atasema tuu tumpe muda fadlu amtie konzi lingine atasema aliendaje yanga🤣🤣🤣
2026-11-23 20:59:32
0
jimykongwa
jimy kongwa :
Uwongo huo kunte cjui content mbona aligoma kwenda lwa mkopo timu za hapa tanzaniaa mmchezaji huwezi kwenda kwa mkopo timu flan kama hautakii😅
2026-11-23 14:04:26
0
eliasabepera
Elias MBEPERA :
🤣🤣🤣
2026-11-23 12:41:03
1
sayitz.tiger
sayitz, tiger🐅 :
[Pray][Pray][Pray]
2026-11-23 11:31:36
0
nicco.507900
C.E.O 🇺🇸💞 :
😁😁😁
2026-11-23 13:25:32
0
To see more videos from user @afrosate, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About