Yan ukifika hapo Kila kitu kinauzwa ni Cha kingereza kosoro Bati mbao na misumari
2026-11-24 05:44:44
4
gaby :
mbona mm huwa navuka had kupauwa
2026-11-24 15:01:43
2
Anastar :
ndo maana mimi staki kujenga 😂😂
2026-11-24 22:46:46
0
Lovemoe Biseko :
niongee kwa kusimama au kwa kukaaa😂😂
2026-11-24 19:30:15
0
FESTUS :
respect
2026-11-24 08:42:34
0
Yurash✅ :
Nyumba inaanza kuongea Kiingereza 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-23 16:46:00
6
Chybun :
😂😂😂😂😂😂 we acha ikifika hapo ndo unajuta kwann ulijenga unaanza kupigia hesabu hela ulizotoa na unazotakiwa kutoa kumalizia ni kubwa, apo unaanza kuwaza hii hela ningenunua ata gari au ningefanyia ata biashara 😂😂😂
2026-11-25 07:52:05
1
Hizkil :
Kuanzia hapo nyumba huwa haitaki tena vitu vya nusunusu. Kama ni kenchi basi zitimie, bati zitimie, madirisha yatimie, tiles zitimie, rangi itimie nk.
2026-11-23 16:47:46
5
magawila :
ujenzi ni kama hesabu maana somo la hesabu linakuwa rahisi mwanzo ila ukianza tu mambo ya tafuta thamani ya x ndo sawa sawa na ujenzi mwanzo kujenga inakuwa rahisi ila ukishaanza kwenye kubadilika lugha finishing ndo utaona mara scheming sijui
2026-11-24 22:26:44
2
Justin stamphord :
nyumba ikimalza kiswahili ikaanza kuongea kiingeleza kam wirings,singboard, plaster, tiles,finishing, gypsum board oyaaaa utasema🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
2026-11-24 08:03:39
3
Lotus🦋🌹 :
M nilianza kununua bati mbao na misumari na hiyo imenisaidia kujenga kwa mwezi mmoja tu
2026-11-24 11:29:35
3
Jenifer :
kingereza kinapoanzia shidaa
2026-11-23 15:08:20
0
cris :
hapo kuna ndugu upande wa baba 😂😂😂
2026-11-23 20:12:51
3
Dora Kibale :
hapo sasa ndio unaanza kujenga
2026-11-23 13:45:23
2
JOHN'S :
nayo ni hatua[Pray]
2026-11-24 06:21:21
1
To see more videos from user @kashili29, please go to the Tikwm
homepage.