@molionlinetv: Anko T, Mjomba wa Taifa, amemrushia Nandy maneno makali kwa taarabu, akimtaja “fisadi kiwembe.” Pia ametuma ujumbe akijibu madai yanayomhusisha Zuchu na kusema hataki jina lake lihusishwe na mambo asiyoyajua. Una maoni gani kuhusu ujumbe wake? Jadili kwa heshima na follow Moli Online TV. #AnkoT #MjombaWaTaifa #Nandy #Zuchu #Taarab #BongoFleva #BongoMusic #MuzikiWaTanzania #WasaniiWaBongo #MastaaWaBongo #HabariZaMastaa #Burudani #ShowbizTanzania #MoliOnlineTV #TanzaniaTikTok #TikTokTanzania #TrendingTanzania #BongoUpdates #MijadalaYaMastaa #CelebrityNews #EntertainmentNews #EastAfricanMusic #SwahiliEntertainment #FYP #ForYou #ForYouPage

Moli Online Tv
Moli Online Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 November 2026 14:43:53 GMT
327825
24126
1450
1194

Music

Download

Comments

jacqueline.mwanju
Jacqueline👑 boss lady :
team zuchu tupo wengi jamani 😁😁😁😁🥰
2026-11-23 15:15:18
2453
user3161006323309
Suzy B :
team nandy tupoo
2026-11-23 15:17:54
502
skinbybillat
Billat..Beauty :
Uzuri wa Anko T hapendi unafiki😁
2026-11-23 16:33:46
910
zeyparzeypar
🦋zeenat🦋🌸 :
team zuchu tuko Lele leleeee😅😂😂😂
2026-11-23 16:14:39
517
amina.omary09
minah cute :
timu zuchu tupo lele le le zuchu tunaye.
2026-11-23 16:11:48
1111
mwasiyellahkhadij
pretty deeh :
anko t. unaatar wewwwww🥰🥰😋😋😋😋
2026-11-23 16:10:00
2
sharon.barasa0
😒😂 :
Huku Kenya Tuko upande wa Zuchu❤️❤️❤️❤️
2026-11-24 18:19:05
130
hasfat7
hasfat7 :
tunamjua 😅😂🤣
2026-11-24 05:54:15
32
umnaa86
um naa@ :
kiukweli nandy amekosea kuchonganisha mpaka kwenye rizki za watu
2026-11-23 16:18:16
449
user4381303500668
Binti jei :
Sasa na wewe anko T mambo ya wanawake ya kuhusu nini?
2026-11-23 17:30:58
31
mo_mo8948
mo-moh🍒 :
team nandy wapo hoi saivi
2026-11-23 17:22:04
11
lucyalex32
Lucy Alexander 💋🫂 :
Kumbeeee team zuchuuuuu tuko wengiiii😅😅
2026-11-23 15:42:09
276
challacollection25
challa-collection🛍️ :
ukiskiliza voice za malalamiko upande wote bc NANDY ndio mwenye makosa kosa la kwnza kw nn amtume yammy alale na dimond pia amrecord ili amkomoe zuchu….
2026-11-24 06:05:11
98
naheel121
Naheel@faah❤️ :
kama uncle t yupo upande wa zuchu mimi ni nani
2026-11-23 17:09:47
202
twinxer346
Rayan💠🥰 :
and the problem is, I love them both a lot
2026-11-29 09:02:44
0
anisarajab1
Bint ndosa 🇴🇲♥️🇹🇿 :
mm mpaka sahv sina team yeyote sijijuw niko wqp
2026-11-23 16:45:02
77
mimiy085
minat aliy_08 :
Team Zuchu woyoo tupo lelelee hatuboi wala hatupoi 👌🤣🙌 na atakae ingilia tunae hatumuachii
2026-11-24 08:28:28
33
mwana.juma65
mwana juma :
eeeeeeee kwakwely
2026-11-27 22:11:53
0
swaumumiraji341
waukwee💗💕 :
team zuuu tupo leee kaka kunywa soda nakuja kulipa🤣🤣
2026-11-24 18:16:34
5
ashura_athumanimasudi4
Ashura white brand💋 :
taarabu naipenda saana hii. yani pambe👌
2026-11-24 03:50:11
6
sweetgift7828
Sharmila’sflorals&Gifts :
Binafsi kati ya ZUCHU na NANDY namkubal sana YAMMI kwasababu RUBY ana sauti nzuri sanaaa😂😂😂😂
2026-11-23 17:30:47
57
angel.mchina308311
angel mchina3083114444146 :
nilikuwa nasubiri tu kaka wa taifa🤣🤣🤣
2026-11-24 04:56:46
16
jemadaud1
jemadaud1 :
team zuchu tupo lele lele👌👌
2026-11-23 16:24:08
19
user4210861244560
user4210861244560 :
Team zuuu
2026-11-23 16:30:12
27
cansu9631
HADASSAH :
Team ZUCHU tuko lele lele[Tears of joy]
2026-11-23 19:40:31
20
To see more videos from user @molionlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About