@zule_tornes: El coche para bebé que también se convierte en car seat. #cocheparabebe #babystroller #tiktokshopblackfriday #tiktokshopcybermonday #discoveryourgift

zule_tornes
zule_tornes
Open In TikTok:
Region: US
Tuesday 24 November 2026 00:23:49 GMT
1302
6
1
12

Music

Download

Comments

dqbabydollshome
DQBABY DOLLS HOME :
Perfect for newborns 🥰🥰🥰
2026-11-25 01:22:10
0
To see more videos from user @zule_tornes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Serikali imeahidi kuboresha mazingira ya uwekezaji kwa kiwanda cha kuchakata mazao ya kilimo cha Mainland Group Agro Process Tanzania Company Limited, kwa kutatua changamoto ya upatikanaji wa malighafi kwa kumtafutia mwekezaji maeneo ya uwekezaji katika kilimo cha alizeti ili aweze kuzalisha zaidi ya asilimia 60 ya mahitaji ya malighafi ya kiwanda hicho. Akizungumza Novemba 27, 2026, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Dkt. Pius Chaya, amesema kiwanda hicho chenye uwekezaji wa zaidi ya Shilingi bilioni 190 ni miongoni mwa uwekezaji mkubwa katika sekta ya uchakataji wa mazao ya kilimo nchini, hususan uzalishaji wa mafuta ya kula yatokanayo na alizeti. Amesema uwekezaji huo umechangia kukuza kilimo cha alizeti kwa kuzalisha mafuta ya daraja la kwanza na la pili, sambamba na kuwasaidia wakulima wa zao hilo katika mikoa mbalimbali nchini. Aidha, kiwanda hicho kimeajiri zaidi ya watu 400 na kuchangia zaidi ya Sh bilioni 18 kupitia ulipaji wa kodi serikalini. Kwa upande wao, Huang Hai, Msaidizi wa Meneja Mkuu wa kiwanda hicho, na Elizabeth Mkwasa, Afisa Uhusiano na Umma, wameishukuru Serikali kwa ushirikiano inaowapa wawekezaji, huku wakibainisha kuwa changamoto kubwa inayowakabili ni upatikanaji wa malighafi ya kutosha kutokana na kutokuwa na maeneo maalumu ya uwekezaji katika kilimo cha alizeti ili kukidhi mahitaji ya uzalishaji wa kiwanda. Naye Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Mtumba, Silas Silivester amesema jimbo hilo lina maeneo mengi yenye fursa za uwekezaji, akiwahimiza wawekezaji kujitokeza kuwekeza kwa lengo la kuongeza ajira, kukuza uchumi wa wananchi na kuharakisha maendeleo ya jimbo hilo.

About