Hatuwezi kujenga nyumba Moja kisha tukagombea Fito Ila Zanzibar kwa Ubaguzi tu Munatisha
2026-11-24 22:32:05
3
mustafa mohd :
zanzibar ni nchi sio kisiwa
2026-11-24 11:19:16
8
🎵 :
WAZANZIBARI WENGI WANATOKEA TABORA NA SHINYANGA
2026-11-24 18:43:53
4
ULAMAA.. :
LAZIMA UZANZIBARI ZAIDI UWEPO
2026-11-24 18:11:43
1
Zena h t :
asante baba Wabara hatuna raha Mungu akulinde
2026-11-24 15:46:13
0
Rehema Hussein :
nikweli baba zanzibar nikisiwa hujakosea wache ubaguzi oooomimi mzanzibar ovyooo achen kutuzarau Mwinyi kasema kweli yan Rais namkubali hy
2026-11-24 13:41:39
3
RASUL MACHUPA :
Mr President
2026-11-24 17:40:52
0
Mbarak :
moja ya hutba bora sana bs ni hii nakushkru raisi wangu kwa kuliona hili hi zambi isipo kemewa itatugawa vibaya sana tujifunze kwa ukarain na urusi
2026-11-24 08:46:22
2
Cadabrah :
nchi hatuipati Tena wazanzibar duh
2026-11-24 19:54:37
0
aisha 🥰🥰🥰 :
safi sana kuna zawadi yako. mkuu
2026-11-24 16:46:34
1
Yasser :
Tushapigwa apa😅
2026-11-24 10:35:02
1
champion boy25 :
kuna siku John na William watakuja kudai kua maraisi wa Zanzibar sababu sote tumehamia kwa mwendo huu😂😂😂
2026-11-24 14:14:49
0
nayratmoh'd :
mashaallah raisi wetu mungu akuwekee akupe umri mrefuu
2026-11-24 19:28:31
2
user2447184063473 :
Kuna watu kwakujitetea hee
2026-11-24 08:40:31
5
Hakeem Ateeq :
Big Bro
2026-11-24 09:36:11
0
GENERAL🇹🇿❤️ :
mbna historical ya zanzibar tangu mitume ama sio kwli
2026-11-24 09:27:32
0
mkinga king barber gear💈✂️👑 :
mkuu kashaongea, sasa nione kenge gani anaonesha ubaguz akat sote ni watu wa MUNGU mmoja, sote tulizaliwa na sote tutakufa, na sote tunaenda chooni, sote tunapitia raha na karaha!
2026-11-24 17:25:28
2
bliss :
Maneno ya kweli na uhakika busara iliyotukuka ni kujenga upendo muislam ndugu yake muislam mwenziwe na watanganyika na wazanzibar ni ndugu tupendane
2026-11-24 11:09:56
0
Yasser :
Tushapigwa apa😅
2026-11-24 10:36:02
3
muwamadijuma :
Kwa hiyo hakuna haja ya uzanzibar sote sisi ni waadamu na hawa
2026-11-24 08:08:41
0
Khamis Alawi :
Labda nyinyi, mimi sina asili ya bara hata chembe
2026-11-24 18:58:35
2
Bin Muhine :
hata bara wana asili za sehemu tafauti tafauti
2026-11-24 13:01:10
0
Mangara Mangara :
safi sana mueshimiwa rais mwinyi umevunja ukimyaaaaa 🙏🙏🙏🥰
2026-11-24 15:46:42
3
muhhamed :
kaka mwinyi waambie maana sisi wengine majina yetu halisi awayataji tunaitwa kichwa nchi ila tunavumilia maana tumekuja kutafuta
2026-11-24 17:20:10
1
mr money :
wewe nchi unaizua lakini mimi hela yangu niipate tu baadae ntahama
2026-11-24 09:16:05
0
To see more videos from user @mr_kitukuu_cha_zanzibar, please go to the Tikwm
homepage.