Jamni mbona sielewiii Nina hela za mchezo nimeweka ukoo kuna niniiii
2026-11-24 14:01:44
2
soja mhehe 🙏🙏 :
hh
2026-11-24 13:29:34
1
barakamotto :
Kuna watu walikua wanasema tutoe Hela bank ,ila niliwapuuzia sasa sijui ni Nini kinaenda kutokea
2026-11-24 11:28:45
0
DICKSON :
Maana ndo mwezi huu wanavunja, kwa hyo wakichukua uko nafikiri mtandao utakuwa vyema
2026-11-24 11:08:21
0
Mick di :
mkurugenzi jina lake la mwisho
2026-11-24 13:20:57
1
loveness Mosha :
naskia walieka hela gem ya liv na man u 😂😂😂
2026-11-24 10:55:01
3
Jesse :
Hii bank n yakuama tu haijielewi
2026-11-24 10:33:41
1
nayman :
hata huku lakini mbona sisi hatusemi mbona mimi sisemi😅😅😅😅😅
2026-11-24 10:47:57
1
Lucy 🥰🙏 :
Au wamenunulia Hisa hela zetu🤣
2026-11-24 14:13:00
0
mainemecky :
kumbe ndo maana jana nimelipwa hela nusu
2026-11-24 15:37:22
0
willsonmassawe :
Sina ham nao walichonifanyia jana
2026-11-24 15:38:46
0
Rose Msasi :
wametutesa khaaa
2026-11-24 13:17:07
0
kimboka1_treasures :
nyie kwani kuna jambo gani huko NMB
2026-11-24 09:09:31
1
Songora Mtana :
Ngoja kidogo mtajua nn trump anasema khs bank
2026-11-24 13:21:29
0
Msomali :
Mbona tunatishana Jmn
2026-11-24 12:28:35
0
MOMENT OF LIFE🌍🌍 :
kuna watu hawajala toka juzi.. pesa zote waliweka NMB sasa kika walamba jana ni likuwa nawachek wateja wakija kutoa mpaka wanatia huruma eti mimi nakula nini sasa sina ata mia ndani
2026-11-24 15:19:35
0
EAGLE JR :
jana ilikua wamebeti pesa zetu
2026-11-24 13:32:03
0
user3557114491912 :
🤣
2026-11-24 13:10:13
0
Ukhty Ulfat💖 :
𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑛𝑖𝑛𝑖 𝑡𝑒𝑛𝑎 jmn
2026-11-24 13:08:48
0
simulizi_picha✨🌲 :
kwasasa eanasema mambo Yako sawa mbonaaa
2026-11-24 09:14:11
0
To see more videos from user @kimmessie, please go to the Tikwm
homepage.