that why ilove being an Arie , we take nothing for sh*ts , the moment you disappeared I move
2026-11-24 16:47:36
5
Cherish :
Yamenikuta sielewi
2026-11-24 14:28:10
8
mama G :
Hata mm siku hz nawafanyia hivyo
2026-11-24 15:14:38
9
Jojo humble :
Asante kwa hili.. ukini ghost yaani mie ndio nakupotezea mazima..
2026-11-24 18:03:40
1
Myrah vijora🎀✨️ :
Aseee me wanarudig wenyew me ukinikalia kimya mm ndio nakuwa kama sijawai kukujua😂
2026-11-24 18:51:36
4
L 👀 k :
Sis Jess, this is sometimes a defense mechanism from the person doing it
2026-11-24 17:02:12
0
Officialskaka :
Hako kamchezo ni unakuta mtu ana mke au mpenzi wake ambae hawezi kumwacha, ila kuna muda unakuta hawawasiliani sana sasa hako ka muda ndo mtu anakuja kwako anakuwa karibu, anakujali unamuamini, alafu badae anarudiana na mtu wake akisharudiana nae wewe anakupotezea, siku akiona mahaba yamepungua na mtu wake anakurudia tena inakuwa ni mwendelezo, sasa usipotumia akili itakula kwako.
2026-11-24 17:30:16
8
Absen :
nikitu alikua anafany mpenz wang namtafuta naanza kutafuta kosa siliona naomba msamah kwa kitu nisichokijua,now kaenda, asante umenisanua kitu acha aende lazima niwe na back up😂
2026-11-24 14:41:43
3
Jenny Prishaz :
my dear ♥️
2026-11-24 20:31:37
0
Jesscrystal18 :
Ni kweli sana especially new friends pia inatokea as well
2026-11-24 15:33:11
6
Bwanashamba :
ni ka muda mrefu sana😅😅
2026-11-24 19:24:01
1
@KusemaG :
hakuna mtu huondoka Kwa maisha ya mwingine bila sababu.kuna kitu kilivumiliwa mpaka kikachosha mtu ndio anaondoka tu.huwa amechoka
2026-11-24 18:58:29
1
Nova luxe :
ananipa ela?
2026-11-24 15:14:35
4
Chum Bob :
Asante
2026-11-24 17:35:57
0
Kenwizzy graphix :
Fact
2026-11-24 14:56:35
2
salmataymour1 :
😂
2026-11-24 14:16:53
1
Mkahumbya 🇹🇿 :
Weeeh!! Yalinikuta lkn nkapata Dili la hela. Pesa ni sabuni ya roho heart break didn’t stand a chance 😂😂😂
2026-11-24 19:44:56
1
Simply_MaluhiZ🌸 :
very true 💯
2026-11-24 13:50:08
3
💝 Amina :
kweli kabisa mm mwenye yashani Kuta
2026-11-24 17:49:48
0
astron :
😂😂😂😂 nipo apa
2026-11-24 14:56:52
0
Her majesty 🧿🦂 :
2026-11-24 15:25:01
1
macklin moyo :
nilikimbiaaaaaaa
2026-11-24 15:09:59
1
To see more videos from user @jesca_njau, please go to the Tikwm
homepage.