@istiqaamamuslim_hq: LIMETIWA UZIWA JAMBO LA KUOA#istiqaamaTanzania #Istiqaama #IMCOT

ISTIQAAMA MUSLIM HQ
ISTIQAAMA MUSLIM HQ
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 24 November 2026 12:55:08 GMT
1481
126
6
21

Music

Download

Comments

abuu_19
Abuu Reelan :
kutafuta mahari ni mwaka mzima kutafuta pesa ya siku ya harusi miezi miwili kutafuta pesa ya kuanza maisha miezi mitatu halafu hujatafuta pesa ya kodi pesa ya kiwanja😁😁😁😁😁😁😁 na mengineo
2026-11-25 16:20:44
0
zaheedmohammed1
Zaheed. :
hamna khilafa hamna sheria hamna jihad
2026-11-24 13:03:36
0
zaheedmohammed1
Zaheed. :
mada ndio hzo hzo hamna mada nyengine
2026-11-24 13:01:27
0
el_jahaz26
Suleiman Al-Jahazmiyy :
ni kwel jambo la ndoa limetiwa ugumu sana unamkuta mzazi anatak milio 7 au 6 na kila uwe nacho, una ukiangalia mtu hana anaamua akae, lkn cha ajabu zaid hao ndugu zetu ndo wanayafanya waambieni wajirekebishe akija mtu ana tabia njema na mumemridhia dini basi muozesheni halaf husem sisi watu wa sehemu fulani mahari ni yetu huwa ni haya wanajipa thamani hao walio na thamani hakuw saad ibn mussayib tabiin mkubwa alimuozesha bint yake kwa dirham 2 t na alikuwa na elimu mpka yule mwanafunz wa said akasem ilikuwa ni nyumba ya ibada cha kusikitisha saiv tunaowa mahari kubwa mwanamke hazid jambo ilia jeuri na kibri na maneno machafu
2026-11-25 04:21:21
0
ahmedi3824
Ahmedi :
shee nikwel ndio man saiv zinaa nje nje
2026-11-25 20:08:35
0
To see more videos from user @istiqaamamuslim_hq, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About