@bbcnewsswahili: Mchungaji wa Zimbabwe, Prophet Uebert Angel, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Harare Novemba 24, 2026, siku mbili baada ya kukamatwa akiwa anaendesha ibada kanisani kwake. Wakili wake amethibitisha kuwa anakabiliwa na shtaka moja rasmi la unyanyasaji wa kingono na amesisitiza kuwa tuhuma za ulawiti zilizotajwa awali na polisi hazipo katika shtaka alilosomewa mahakamani. Upande wa Jamhuri umepinga dhamana ukidai anaweza kutoroka nchi @frankmavura anaelezea zaidi #bbcswahili #fyp #viral #foryou #uebertangel #zimbabweantiktok

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 24 November 2026 13:58:16 GMT
67781
3352
103
189

Music

Download

Comments

treyshan_
treyshan🇹🇿💕 :
Anamwanae wakiroho Tanzania na Mimi namjua lakini mbona mi sisemi
2026-11-24 16:26:52
24
masimejnr
Masime Jnr 🇬🇧🇰🇪🇿🇦🇹🇿 :
I am saddened.... like really? ☹️🤔
2026-11-27 11:35:54
0
neemag75
Butterfly 🌸 :
Siasa za Africa ni kuchafuana tu 🥹
2026-11-24 14:27:56
22
pamejog
P@mejog :
na Tz lipo Hilo kanisa
2026-11-24 15:04:11
7
msleechris
msleechris :
That is the devil’s doings. It is more than a physical war. This is spiritual
2026-11-24 14:26:12
10
xlookup31
Tech Master 🛠 :
Gold Mafia Documentary
2026-11-24 18:22:49
0
irene.kavishe33
Irene Kavishe :
nimipango tuuu yakuangusha kabisa la Mungu lakin hawataweza
2026-11-24 17:26:48
5
babylon_bizzy.1
Babylon_bizzy.1 :
takbir
2026-11-24 14:26:45
9
peterlubiro
Golden :
ndo maana chalamila ataki makanisa mengi[Tears of joy]
2026-11-24 14:12:13
7
anishamorylene04_designs
anishamorylene :
wish I knew this language☺️
2026-11-24 15:35:39
0
chabby_charms17
charming 🇹🇿 :
mbona kama amekua framed jaman au
2026-11-24 14:15:25
1
brandmotion.ai
brandmotion a.i :
the guy literally said Jesus is lucifer and God says lies and satan tells the truth
2026-11-24 15:14:45
0
user4281724700885
user4281724700885 :
ni uongo tu atashinda
2026-11-24 14:28:43
9
user5516279145617
Mummy 3K :
Mungu ni mwaminifu Nuru na giza vitajitenga
2026-11-24 15:00:44
3
officialshuu42
official-shuu💞💞 :
mbn anafanana na dialla kipa wa yanga
2026-11-24 14:44:11
3
rasimu.ya.warioba.genz
Rasimu.ya.warioba.genz :
Prophet Uebert Angel alitoa utabili kanisani kwamba Makamu wa Raisi atachukua madaraka katika uchaguzi ujao. Sasa inaonekana Rais na watu wachama cha Mnangagwa walikuwa wamesha mpanga mtu wao ashinde uchaguzi ujao. Hao ndio walio mzushia kesi ya Ulawiti na unyanyasaji ili kumdhalilisha na kumfunga jela.....lakini Angel atashinda tu na wao hawatapata hiyo nafasi ya kiti cha urais
2026-11-24 15:43:49
1
nicaragua_150
Nicaragua🫶🇹🇿🍓 :
ndugu zangu dunia ina mengi utakuja kushangaza una kuta nj njama ,a kumchafua tu wanadam wakiamua kao awashindwi
2026-11-25 07:22:24
2
delorenzo160
Lorenzo :
naona mwanasiasa amekamatwa na wanasiasa wenzake 😂😂
2026-11-25 10:52:07
1
coolboe_graphix
coolboe_graphix :
Dizasta Vina... Kanisa🙌
2026-11-25 09:32:01
1
enjodeborahcutie
DEBORAH ❤️👼✝️☦️ :
So eeeh
2026-11-24 15:57:40
1
arafa.ramadhani369
Arafa Ramadhani :
@Arafa Ramadhani: Yani ndio mchezo wao watu wa dini sio wakristo sio waislam ndio maana Gen Z hawaendi nyumba za ibada sasaiv na Imani zinaendelea kuporomoka maadili ndio yamepotea sababu watu hawaamini tena kwenye dini💔
2026-11-25 03:55:11
1
gervasebenard
Prophet Gervase Skyman :
⚖️⚖️⚖️Kuna maneno au kitendo inaweza ukafanya kwa mafunuo ya Kimungu kikaleta mkanganyiko mpaka uwekwe sehemu maalum uwafafanulie wenye shaka(allegations) Kwahiyo tumwachie Mungu ili mapenzi yake yatokee! bado tuko duniani mengi yanatokea na yatazidi kutokea la msingi ni kukaa kwenye maombi Mwenye haki atapatikana tu,tuwaachie uwanja Mawakili na mahakimu/ Majaji, kati ya jamhuri ya Zimbabwe na Nabii wa Bwana ,baba yangu wa Kiroho "Uebert Angel Senior"!
2026-11-24 16:31:40
1
marthagrace_5
🦋.Marthagrace.🦋 :
kama ni wa Mungu, Mungu pekee ndo atamtetea
2026-11-24 15:07:52
1
yandolela
Yandolela :
church persecution
2026-11-24 15:28:30
1
marclegend671
Carl Johnson :
not cool
2026-11-24 14:07:40
1
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About