@dicetza: Wolper "rich mitindo hajatoa hela ya matumizi ya watoto kwa miezi mitatu sasa" 📸 @dicetza

Dice Tza
Dice Tza
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 24 November 2026 14:45:43 GMT
81154
7103
228
200

Music

Download

Comments

agnesmusaki1
Nes💕 :
I like her, she's so feminine and composed🥰
2026-11-25 05:03:22
82
itsmeshyner
Shyner :
Namuelewa huyu dada
2026-11-24 20:35:10
271
esthermfaume
Esther :
Jack kichwan yupo vizur sana
2026-11-25 03:35:29
158
anna.mimis
AnnMimis :
Uyo kijana bado mdogo Muache apige sherehe
2026-11-25 08:03:34
16
mama.alvin788
mama alvin :
mimi toka Nina mimba miez3 had leo mtoto ana miaka5 Alisha tuma elf 15000 tu
2026-11-25 05:30:26
56
silviaselli8
sisema :
ila jack vumilia kwanza
2026-11-24 22:43:37
41
marym.aboubakar
Marym Aboubakar :
Dar ujasiri wa namna hii utapokea lawama kwa wasio elewa ila wanao elewa wanajua wolper anayopitia wolper your Frankly
2026-11-24 21:27:51
74
queen.raymond29
Queen Raymond :
Watu miaka 10 tumekaa tu kimya maisha yanaenda
2026-11-25 10:21:30
5
zawie729
Zawie :
jackie upo sahihi, tunakuelewa.
2026-11-25 04:31:55
26
irissylawrance
Iris :
nakupenda sanaa jack uko smart sanaa kichwani 💯
2026-11-25 05:00:02
21
zee_tz1
Zee_Glow_and_Glam :
Jacky nakuelewa mpaka nakuelewa tena Yoooh 🥰
2026-11-25 09:57:12
10
lafastore2
LAFA STORE :
@jackelinewolper ameshamove on 🙌
2026-11-25 13:36:53
0
user60080462
user600804 :
Tupo wengi kipenzi wababa wanabadirika wanahisi kwasababu tumewazalia eti atu hitaji upendo kumbe kuanza upya inawezekana
2026-11-24 22:48:41
24
irene_stephan
IRENE_Stephan :
namuelewa sana, kama hujapitia ni ngumu kuelewa
2026-11-25 05:54:28
9
flora.gadi.mbowe
flora gadi mbowe :
😂 😂😂 ila Jack eti ndio mimi apaa
2026-11-25 05:08:38
9
shamsa78588
shamsa :
Kila mwanamke anapenda kulindwa na mwanaume wake nakuelewa nakuelewa sanaaaa
2026-11-25 09:12:32
6
agathampemba98
The unfiltered life🦋 :
Napenda sana Jack anavyoongea hadi raha kumsikiliza🌹
2026-11-25 05:59:20
7
user5292630593197
🥰🥰 :
ss wengineee tunamuelewaaa tenaaa sanaa tu
2026-11-25 04:45:57
12
leah151617
leah151617 :
kweli hakuna mtu anapenda kuzaa na wanaume wawili Mungu akutie nguvu
2026-11-25 06:57:52
8
user1484716715543
user1484716715543 :
umeongea vzuri sana
2026-11-25 04:39:39
7
petronilamruma796
Petronila Mruma :
saaana.. to feel protected.. that is what we need we women
2026-11-25 10:12:22
3
lizsonia15
Sonia :
Nampendaaaaaaa huyuu dadaaaa✅
2026-11-25 10:29:18
3
neymqr49
neymar :
ndo maana ant alishasema
2026-11-24 22:48:23
3
veronicamwingila8
Veronica Mwingila :
pole kipenzi wanaume wengi ndivyo walivyo
2026-11-25 13:03:29
1
user3116148678165
Nayomi :
watu hawaelewi tu hakuna mwanamke anapenda kuzaa watoto na baba tofauti hilo nakataa ila ni maisha tu
2026-11-25 11:48:53
1
To see more videos from user @dicetza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About