Oya sio poa mwanetu me ilitookea mechi ya. mwisho nilitaka niende division 2 ndoo nikapata asal ya poet
2026-11-25 13:04:29
3
faaruk shikalo :
inauma san hiy kit
2026-11-25 13:19:55
0
KHAMISI SEIF OMARY :
hapo simu naizima kabisa alafu nalala
2026-11-25 11:49:18
2
transfomer :
apo unakuta gb zimo kama 10 iv owaa unawez kuvunja cm kama wasipo kuwah 😅
2026-11-25 14:11:33
0
MR PATERY :
alafu ikishakaa sw unakuta umepigwa goli nne 🥺🥺
2026-11-25 15:18:15
0
André son of God 🤲🙏🔥 :
🙌🙌🙌😇Kaacha ndala kisa mtandao siona likini alikua nauwezo wa kunifunga🙁🙁
2026-11-25 13:47:36
0
diaz :
nilipasua sm kisa ichoicho bado mechi moja tu niingie division 1
2026-11-25 12:02:56
0
BeKaY👊H GN🇹🇿 :
2026-11-25 12:39:55
1
Hussenjj :
mbaya hiyoo😢😢😢
2026-11-25 15:21:10
0
mickey_fored :
inakukut ndo mech ya nwishi kuingia division 1😥😥
2026-11-25 11:50:07
0
ZUNGU BM :
daah inauma hiyo
2026-11-25 15:46:51
0
ankara Lopez. :
ni bora wani letee ivyooo nijue moja kuliko mtu kashinda alafu mechi ina endelea baadae Tena ina gandaa opponent ana shinda Tena hayo maumivu yake sio poa mzeee .
2026-11-25 13:01:11
0
scon reypol😃✅ :
apo ndo hasira unaeza piga alie karibu yako akikuongelesha
2026-11-25 10:02:35
0
SILVER 🖤🎮 :
Uwiiiiiiiiii kupasuka kwa simu yangu kuliaza hiv hiv 😭😭😭
2026-11-25 13:51:01
0
Evans :
usinickek kam nachez gam
2026-11-25 11:56:51
1
pongwe 96 :
nabonyeza kati naingia insta
2026-11-25 12:03:51
0
Adam🥰🥳 :
airtel na halotel ndowanamambo yakiseng mim ad nimetok kwenyegam nimekuj tiktok
2026-11-25 13:16:10
0
THE-OSSBORN :
dah acha tu bro kuna muda inafika unaweza kushikwa na hasira hadi unajikuta unabamiza simu chini dah🥺
2026-11-24 17:52:58
0
Mr crown :
Yan mm hata kula mwanang bc tena
2026-11-25 10:56:06
0
Cap make it :
daah mi yaliyonikuta ni mungu ndio anaejua kwenye dakika tano za nyongeza ile imebaki dakika moja mechi iishe 🤨🤨🤨daah
2026-11-25 11:03:32
0
Alfacxido :
wazi
2026-11-24 18:54:18
0
Juma shabani🇹🇿🦁🌻🌻 :
me nachezaga mechi moja nikiona unasumbua bora nicheze Ai au league tu 🥺🥺
2026-11-24 18:34:44
2
kizzy Bee✨ :
💔💔💔
2026-11-24 18:29:43
0
To see more videos from user @hekkie31, please go to the Tikwm
homepage.