allah tuhifadhi na mitihan uponye dada huyu na uwaponye wangonjwa wote na hawa wasio jali matatizo ya wenziwao uwahukumu hapa hapa duniani uwape mitihat ili waijuwe adhabu ya matatizo tulinde wajawako allah[Crying][Crying]
2026-11-25 02:43:03
7
𝑺𝒘𝒂𝒉𝒊𝒇𝒂ᥫ᭡ :
Ilo ni kosa La Madr…… Simaamishi wafungwe but hospitali wanatkiwa wakulipiee kila kitu mpk upone 😭😭
2026-11-24 20:55:04
7
Asad.Al-haq :
mmmmm pole sanaaa Allah atakilusaidia utapona
2026-11-25 04:57:54
2
Mrs beka😘 :
Pole xn
2026-11-25 11:39:23
0
Asia :
duh zanzibar mtihani jmni madaktari
2026-11-25 07:03:43
1
D :
ukumbusho kwa umma unapomuombea Dua mtu au ukijiombea usimalizie neno inshallah kwenye Dua hakutakiwa kusemwa inshallah haitakiwi usime ivo mwisho wa Dua au kuitikia usiitikie Amin inshallah,
2026-11-25 05:34:31
1
Mrsmohd Khamis :
pole xna my Allah atakuafu
2026-11-24 22:44:38
1
ummy ake rajnah :
pole sn dda
2026-11-25 06:13:40
0
Aisha Ramadhan Kapalama :
Labaaasa twahurun in sha ALLAH
2026-11-25 08:31:46
3
Asmahani Yussuf :
duh,pole mama tobaa spitl gn iyo mbna madr wazembe kiasi ivo 😭