SISI SIO WANANDOA TU BALI NI ZAIDI YA WANANDOA EE MUNGU TUNAOMBA UZIDI KUDUMUSHA FURAHA NA AMANI KATIKA NDOA YETU📝🙏
2026-11-26 09:56:45
13
JJJSKH :
mpka mmefanana mungu awabariki mpaka uzeee
2026-11-25 07:44:08
32
king :
au biblia ni tofaut!?
2026-11-25 17:31:10
9
Mwajay208 :
maixha marfu
2026-11-25 11:54:40
3
magreth francis :
me nawakubal San Yan mwaaa😘
2026-11-25 09:16:18
6
🌷💝Anny♥️❤️ :
Sijui nalia nini.ila nikiwaona pamoja huwa nafurah san.jogoo mpende san mtetea,na mtetea mpende san jogoo mukumbuke kumtanguliza baina yenu nyote wawili.Nawapenda san🥰🥰
2026-11-25 02:22:07
6
Moshck..🥰😝 :
Adi wamefanana mashallah
2026-11-25 13:39:21
2
lizzyree3 :
mnafanana au bd amjalijua hilo
2026-11-25 17:00:15
2
layka john :
na mbona mlichaguan jamn uuuwii me nawapenda bhna i cant wait to see my man in this december maan ii.long distance itatuaa tulioko mbali anyaway nawapenda bhna Mungu awatunze san na msiwai fikiria kuachan plz
2026-11-26 07:33:17
1
Naom john lazaro mngazija :
me nawapenda bhna🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-25 16:02:15
0
Essie :
Mungu awalinde🥰
2026-11-25 09:45:12
0
meliss :
mfike mbali [Pray]
2026-11-25 13:01:21
0
glory :
Naombeni ata niwe mdg wen jmn
2026-11-25 02:34:22
0
user3434530685294 :
mungu awape maisha marefu Sanaaaaaaaaa
2026-11-25 10:31:47
1
kami❤️❤️❤️ :
mungu nimwema kipenzi mungu Akulinde sikuzote wewe
2026-11-25 18:49:30
0
Marthagaison❤️ :
mme pendza wallah mung awatunzeee
2026-11-25 12:00:41
0
evance japhet Denis lelwamila :
mmetisha
2026-11-24 21:31:08
0
Qeens of qeen💞 :
Tazama,nitatenda neno jipya;sasa litachopuka;je!Hamtalijua sasa?Nitafanya njia hata jangwani,na mito ya maji nyikani.
@Isaya 43:19.
2026-11-26 10:00:45
1
Sally 🌸 :
i love this couple aiseeh
2026-11-25 12:35:54
3
💕💖💕💖💕 :
kweli mungu akiamua kukupa ana kupa wa kufanana Naye. mbarikiwe sana sana ♥️♥️🔥
2026-11-25 19:09:38
1
Abigael Daudi :
nawapenda sana mung awalinde
2026-11-25 10:36:56
0
𝓬𝓪𝓽𝓱𝓮𝓻𝓲𝔂𝓮𝓵. 💫 :
mnapendezana sana Hadi raha
2026-11-24 21:29:09
0
st.Azizi💞💞 :
mtetea ni mzur jmn
2026-11-25 11:52:01
0
adolphina :
Mubarikiwe san
2026-11-25 11:18:54
1
user4270073381761 :
kapu zuri sana muwehivyohivyo sikuzote namutiane nguvu
2026-11-25 13:59:03
0
To see more videos from user @motistar01, please go to the Tikwm
homepage.