@uhondo.tv: Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ameeleza kutoridhishwa na kitendo cha mwananchi mmoja kukaidi maelekezo ya Serikali kuhusu utatuzi wa mgogoro wa ardhi, hali iliyosababisha vitisho dhidi ya viongozi wa eneo hilo, akiwemo Mwenyekiti na Mtendaji wa Kata. Taarifa za awali zinaeleza kuwa mwananchi huyo anadaiwa kutumia ukaribu na ndugu yake ambaye ni mtumishi wa umma kama njia ya kupinga maelekezo yaliyotolewa na Serikali kuhusu mgogoro huo. Magoti amekerwa na mwenendo huo, akisisitiza umuhimu wa wananchi kuheshimu maelekezo ya Serikali na kutotumia mahusiano binafsi kuingilia utekelezaji wa majukumu ya viongozi wa umma. #UhondoTVUPDATES

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 03:12:53 GMT
37827
1652
94
42

Music

Download

Comments

martin.elikana
Martin Elikana :
magoti uko juu sana sijaona mwingine mwenye maamuzi mazur
2026-11-25 07:01:27
8
emmanuelalturo40
EMMA FURNITURE :
Magoti hongera sana, mama akupe wizara kabisa utatue migogoro, yaani maombi yangu Eee Mwenyezi Mungu yasikie, huyu Dc anatufaa sana ktk nchi hii
2026-11-25 09:43:01
4
doctorberntz
Dr.bern#@tz :
dc magoti mungu akupe maisha marefu haupo kwenye wilaya yangu au mkoa lakini nakukubali
2026-11-25 06:00:29
10
jumampalule
Mpalule :
Kaka ake hapa naongea muacheni mdogo wangu ajenge hapo kabla sjafika
2026-11-25 05:13:02
3
unselfish_living
MOODY3️⃣2️⃣ :
hakunaga sheria ya hivyo bhn ila hii nchi duh
2026-11-25 05:09:57
1
sultanibangusilo
sultan Bangusilo :
rc magoti raisi 2050
2026-11-25 12:00:14
0
user482178174451
rinkilin twalibu :
hongera kiongozi magoti
2026-11-25 08:11:14
1
db.2551
DB 25 :
wabadilishane viwanja ,tu hakuna haja ya kufanya hivyo sasa
2026-11-25 05:00:45
0
mushauri.wa.rais
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-11-25 06:03:40
1
tips.beatz
Zylo🎚️ :
Did I just hear Holy Ghost 🤔 can someone explain ?
2026-11-25 05:25:42
0
wakasuku
wakasuku :
DC anaonekana yupo vizuri sana
2026-11-25 06:18:46
3
geez.hqp
Geez HQP :
kama kakosea apelekwe mahakan hakuna haja ya matamko na amri..tunataka utawala wa sheria sio busara za viongoz
2026-11-25 10:03:53
0
adam.mingulo
Adam Ming'ulo :
hela aikai mkononi ndo maana mshkaj amewai kujenga kabla hela haijamuishia nyie kipind mnaleta bla bla ye hela zinakwenda
2026-11-25 04:18:36
0
juliemontana501
Juliana :
Hongera sana
2026-11-25 08:17:40
0
owokushubira
judifem owokushubira :
hasa hilo la kutumia viongozi, nimependa hii. Hapo lazima anasema mtanifanya nini
2026-11-25 11:57:14
1
papaanjama861
[email protected] :
Dc wewe hua nakukubali sana
2026-11-25 09:25:41
2
neek800
Thepioneerwoman🌹 :
Safi sana
2026-11-25 04:18:48
1
juma.mkumba.mkumb
Juma mkumba Mkumba :
dc hongeraaàa
2026-11-25 04:34:30
3
chidjr2
M.K. BUILDER'S :
DC kama DC
2026-11-25 09:26:47
1
day_soka
Day :
nina mashaka na Mikidadi.
2026-11-25 11:34:37
0
tegge_og
Tegge _og :
safi
2026-11-25 13:09:49
0
user56554876237305
user5655487623730 neno jema :
safi sana mkuu wanyonge tunaonewa sana mungu akupe maisha marefu sanaaaaaaaaaaaaaaa
2026-11-25 14:07:01
0
juma.ally782
Juma Ally :
sahihi sanaa
2026-11-25 13:54:16
0
isanchu_jr
isanchuTalksTz :
Kukaa karibu na mzee wetu Magufuli matunda ni haya sasa.
2026-11-25 12:12:39
0
www.tiktok.com.gem
GEM :
safi sana
2026-11-25 04:05:40
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About