@benedic430:

Mom B,💖
Mom B,💖
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 03:28:39 GMT
27031
2605
106
317

Music

Download

Comments

angel51045
La Reine👸❤️ :
Me post zingine nikikutana nazo hua naishiwa mpka nguvu hata kama nilikua nacheka naamua tu kulia
2026-11-25 20:11:59
3
misher_misher
Misher :
naomba kibari cha Kuona Ukuaji na mafanikio ya wanangu na familia zao baba
2026-11-25 18:44:10
3
melisakemy3
melisakemy3 :
It is always our prayers
2026-11-25 15:33:19
0
rehema.simon7
Mom three girls🥰 :
🙏naomba nione matunda,wajukuu na vitukuu nikiwa mzima wa afya Amen
2026-11-25 18:03:58
7
user3466344497556
love :
Ameen[Pray][Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-11-25 18:15:00
0
machingakingagirl
machingakingagirl :
Dear God 🤲🏻
2026-11-25 19:55:46
0
perusbhukor
perusbhukor :
ee mungu naomba nione watoto wangu wakiitimu vyo wakio na kuolewa na wajukuu wnagu
2026-11-25 18:34:07
0
rizybabe3
bosslady ❤🚘 :
jmn umeongea point
2026-11-25 15:44:51
0
lookyourback45
chinga wa kishua :
Mungu nipe umri mrefu miaka 90Nilee wanangu mpaka wajukuu
2026-11-25 10:34:12
1
fahy451
Fahy45 :
Ameen tuzidi kumuomb Mungu atatupa hiyo neema
2026-11-25 17:48:55
1
user4000761187668
cutenaj🥰 :
Eeh baba wa mbinguni ninyime vyote kasoro pumziii tu niwaone wanangu wakiwa na afya njema nafamilia zao baba inanitosha sana zawadi yako🙏
2026-11-25 19:02:32
2
dorah2022
dorah2022 :
Mungu atupe maisha marefu tulee watoto wetu🙏🙏
2026-11-25 11:24:21
5
veincentre
Emmy james :
ameeeeeeeeeeeeeeeen
2026-11-25 20:26:16
0
user4072059776081
user4072059776081 :
Dah, umeniliza 😭😭
2026-11-25 10:55:27
0
phiacute32
Ms_Sophie ❤ :
Eeeh M/Mungu tunaomba utupe neema ya kuwaona watoto wetu wakifanikiwa🙏
2026-11-25 18:11:02
1
lizzyrose120
lizzyrose12 :
eee mwenyez mungu mwing wa rehema🥹🥹🥹
2026-11-25 20:27:27
0
user810336448
SHANNY BOUTIQUE :
Eee mungu nipe kibali chakuona watoto wangu wakifanikiwa paka navitukuu🙏🏾🥺
2026-11-25 20:32:54
0
mariammwagu
Mariam Mwagu :
Ewe mwenyez mung naoba kibali cha kuwalea watoto wang
2026-11-25 20:42:40
0
mfikwaog
mfikwaog :
amina
2026-11-25 19:52:15
0
user2378630026262
sallyj :
Eee Mungu nisaidie
2026-11-25 21:03:07
0
irny_izzzy
🎀riny⚘️ :
amen
2026-11-25 20:52:38
0
nely41832
noela🌹❤️ :
God😭😭😭😭🙏
2026-11-25 20:20:38
0
edna.john
Edna John :
Baba endelea kunitunza nakunipa uzima ili nione mambo makubwa ya wanangu na wajukuu zangu Amen 🙏🏻
2026-11-25 20:10:43
0
user191729215
Rebecca :
eeh ,mungu tupe maisha marefu mimi na familia yangu
2026-11-25 19:59:06
0
jossy.lastborn
jossy lastborn :
amen aki tuone matunda
2026-11-25 20:00:12
0
To see more videos from user @benedic430, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About