@talkboutitwithconradley: Kama unamjua overthinker mmoja ambaye kila siku anakwambia mahusiano yake yana shida; share nae hii video ajifunze kitu... My brother @jolmaster and my sister @shamour_tz asanteni sana kwa elimu burudani🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Follow | Like | Share & save kwa elimu zaidi #marriage #relationships #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #tiktokkenya
talkboutitwithconradley
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 04:17:02 GMT
Music
Download
Comments
🇹🇿 it's mamichu🇰🇪✨️ :
furaha yangu sio ya mda mrefu😩😩 kitu kidogo nakikuza eeeh mungu niponye kuover think
2026-11-25 12:23:29
14
Aries ♈️ queen :
Mimi ni overthinker na najitenga kihisia
2026-11-25 09:56:06
20
nyonyo37 :
hii hali kuitoa ningum saana..
2026-11-25 07:51:47
19
verogm :
jamni hii hali inanitesa sana lkn kila ninachokihisi mara nyingi kinakuwa kweli..
2026-11-25 14:50:02
11
siahissa🌹❤️ :
mhh hali n ngum sana jamn mpaka mpenzi wangu anaogopa kuniongelesha kitu kidogo tuu nishayazua
2026-11-25 10:20:56
8
Makame Bakary :
Daah!
huyo ni mke wangu kabisaa yaani ni overthinker mwenye kiwango cha masters
kila cku ugomvi usio na kichwa wala miguu
2026-11-25 09:57:09
3
PureAura ❤️🥰 :
Nilijinza sana kukontri hali hiyo na nikaweza na nibaenjoy mahusiano yangu
2026-11-25 17:16:54
1
S 055🪬🧿 :
kuacha siwez
2026-11-25 18:01:54
1
pendo musa💖 :
kwahy unataka tujichukie kwa kitu tusichoweza kukicontrol
2026-11-25 15:53:27
0
Miss ivvonny💝❤️ :
Mm mpka nimeichoka yaan🙌 unakutana na kitu unakidadavua kama mpelelezi😔
2026-11-25 16:36:42
1
Mtasiwa ❣️ :
natamani nitoke kwenye Io hali ya over thinking
2026-11-25 15:02:45
2
🦋Mirah 💕 :
Shamira nkama mm
2026-11-25 10:06:09
1
user4600924961961 :
lakin wakati mwingine inatusaidia[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-25 10:03:08
3
Imakido :
ahsant [Heartwarming]
2026-11-25 11:24:05
0
A&B💞💕 :
mm hapa na nashindwa nn nifanye jmn
2026-11-25 09:33:48
4
msuyaney :
This is so me!
2026-11-25 10:37:50
0
Psalm 103:2❤️📖 :
mm nishaachwa 🥺 kitu kikitokea siuliz najiuliza mwenyewe najipa majib ata akija kukanusha sitaki
2026-11-25 12:37:26
3
Charming Changoma :
huyu mwenzetu kazidi jamani🤣🤣🤣lakin anajua kumchangamsha juma🤣🤣🤣
2026-11-25 15:39:08
1
❤️🦋🌸 :
ni mm hiy cmuamin jpo ananiaminish simuamini ht nikiw mbal nhic t yuk n wanawak il sitomuambia namuach hvyhvy
2026-11-25 09:44:12
2
Hangi mwenda :
ivi napona vipi hiyo hali!
2026-11-25 10:00:40
2
@Najmah_beauty Saloon :
Tunapata ukweli mapema sana
2026-11-25 10:19:42
1
Agizaa_China :
🤣kumbe ndiyo maan niko single
2026-11-25 09:54:54
1
madamcomfort. :
aaah sasa nimejua sababu.
2026-11-25 18:48:05
0
PREMISIN :
siyo namna ivi
2026-11-25 19:11:42
0
calvin_stories :
Sasa nitfnyje mimi sas🤦🏾♂️
2026-11-25 18:06:56
0
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.