@millardayo_: Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Group, Dkt.Abdulmajid Nsekela amewataka Vijana wanaotoka katika familia zenye hali duni kiuchumi kutokata tamaa katika kuzifikia ndoto zao, huku akisisitiza umuhimu wa Watu kusaidiana katika safari ya maisha. Katika mahojiano na Millard Ayo, Dkt. Nsekela amesisitiza kuwa mafanikio yanawezekana kwa kila Mtu mwenye nia, bidii, nidhamu na utii, bila kujali mazingira aliyotoka. Ameeleza kuwa katika safari yake ya maisha amekutana na changamoto mbalimbali ambazo zimemtundisha mambo muhimu, hivyo ameamua kushiriki uzoefu wake ili kuwatia moyo wengine wanaopitia mazingira yanayofanana na aliyopitia. Mahojiano kamili ya Millard Ayo na Dkt. Nsekela ambayo yalikuwa yaruke Jumanne ya leo, yataruka ljumaa hii ya Novemba 27, 2026 katika YouTube ya Millard Ayo. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 05:27:09 GMT
31123
2610
44
75

Music

Download

Comments

mr77531
Mr Thinker :
Siku hizi nchi hii kila mwenye nacho anataka kutukuzwa yeye, hawezi kumsaidia hata ndugu kwa kuhofia kuwa ikitokea shida kwenye familia Wakutoa msaada watakuwa wengi
2026-11-25 05:40:36
12
officialmwinga
AveMaria :
Mungu nifungulie milango na madirisha ya mbinguni nisaidie na wengine...
2026-11-25 07:15:11
2
aisha_selemani01
AISHA_TZ 🇹🇿🇹🇿♥️🙏 :
NATAFUTA MARAFIKI
2026-11-25 15:08:10
1
mandelascalion
Madiba :
Glory to God
2026-11-25 07:51:02
1
ammygal_
ammy G :
"Sadia watu kama una uwezo wa kiasaidia" MBONA ME SISEMI😅
2026-11-25 05:36:02
2
..charity8
🌸🌸..charity🌷 :
second 🥈
2026-11-25 05:34:32
2
opiyo293
Nc wholesale dealer :
waanze na familia kwanza make watu kama hawa husaidia watu baki kwa ckutaka sifa
2026-11-25 22:08:26
1
uuw7728i1716bsy6w
Mwafrica Electrical Service co :
manen machachee lakini yanauzito
2026-11-25 07:32:58
1
jamiiyetu.updates
Jamii Yetu Updates :
Tunu ya Kagera 🔥
2026-11-25 07:24:57
1
tassin_tz
Tassin_Tz :
Nyakatuntu Finest
2026-11-26 12:24:02
0
user183010256955
Never Give Up :
nakukubali sana umenyooka sana
2026-11-26 11:24:23
0
mc.faddy.crown21
faddy crown 👑 :
wanyambo unatuwakilisha vizuri
2026-11-25 12:51:35
0
neymar.amos
neymar Amos :
hakika kabisaa
2026-11-25 05:34:23
1
frankphilipo04
frankphilipo04 :
naomba kazi mkuu wangu
2026-11-25 16:04:28
0
yusuphrule
MR LULE :
saidia watu kama unauwezo wa kusaidia 🎯🎯🎯🎯
2026-11-25 19:16:32
0
mathias.sylvester
Mathias Sylvester :
sure
2026-11-25 16:09:19
0
kizuathename
KIZUA MAKUKU👉buguruni📍 :
Safi sana
2026-11-25 06:12:43
0
josephadson2026
Joseph Adson :
2026-11-25 12:34:15
0
user3800495369441
user3800495369441 :
kwel kiongoz
2026-11-25 06:52:17
0
jesca.kigugumizikikali7
JESCA BUBU TAJIRI..@ :
sifa ya matajiri wanaongea point tu ... mafanikio yapo kwa kila mtu safi sana...
2026-11-25 07:16:19
0
user2536950507460
josephat bitegeko :
Great
2026-11-25 19:50:47
0
mandelascalion
Madiba :
Mungu akwongele notusaidia muno kyerwa
2026-11-25 07:52:42
0
user8062484614993
user8062484614993 :
umeongea kwa hisia kali sana
2026-11-25 07:50:10
0
daisy7686
Daisy :
Kaka umwongea kitu kizuri sana kusaidi sio mpaka uwe na kikubwa hata kidogo saidia na mungu humwongezea anayesaidia mara 1000.
2026-11-25 07:22:03
0
user4196883503504
Aggy4 :
mafanikio yapo kwa kila mtu endapo una nia... bidii na nidhamu...👏
2026-11-25 06:17:05
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About