@radio47_kenya: Utafiti wa Association of Gynaecologists unasema dakika mbili hadi nne za tendo la ndoa zinatosha kwa maisha marefu. #MwashumbeNaMwakideu #HapaNdipo

Radio 47
Radio 47
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 25 November 2026 06:46:20 GMT
6875
408
15
116

Music

Download

Comments

ai.25417
AI 254 :
mi na 90 minutes zangu [Panic]
2026-11-25 12:11:06
0
gillianaggy
Novenah Mishii :
tena si 15 min ai
2026-11-25 12:45:41
0
joxemwax
joxemwax :
Kuna Dawa sababu waaaaah
2026-11-25 12:36:32
0
sabato.mtulinga.a
sabato mtulinga AKA ngumi jiwe :
kwahiyo wale wa 7 hours wanapunguza miaka yao ya kuishi
2026-11-25 11:43:28
0
tai_flick017
Tai :
Tunakesha huku 😂😂😂😂😂
2026-11-25 08:12:11
0
ekira__mwangi
Brevian brevian :
sasa what's the essence na hakuna mtu anajua siku yake
2026-11-25 07:33:46
0
riggyjee
Professor :
baaaaas mimi ni maiti walai 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
2026-11-25 06:59:47
0
bukusuvoiceentertainment
BUKUSU VOICE ENTERTAINMENT :
😂😂😂
2026-11-25 10:59:13
0
soso242302
Soso :
😂😂Mimi if not 20mins wewe toka juu yangu
2026-11-25 09:16:47
1
chove254
antidote😶‍🌫️ :
kwani ni kuku😂
2026-11-25 12:01:24
0
terrymutekhele
M'text :
who wants two minutes man![Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-25 12:43:35
0
userdaggyafrica254
DagyAfrica🇰🇪🇺🇸 :
Tunajua huyo gyna anatoka county gani😅😅😅
2026-11-25 12:40:09
0
am_misshis
Nekesa :
Miaka kidogo ni ngapi Mwashumbe?😂😂😂
2026-11-25 12:53:18
0
user9541192152200
jessy :
one minute man wamepata mtetezi😂😂
2026-11-25 08:38:47
0
shikoli18
shiky Kenya 2 :
na vile tunatumia mukombero😂😂😂😂
2026-11-25 11:05:30
0
mamake.bossie
saloon in Riyadh shifah 24/7 :
😂😂😂😂 gaiii Mimi naenda ata one hour kumbe Mimi Ni mkufii
2026-11-25 10:51:00
0
shaddinsky
shaddinsky :
hawo watafiti waje watafutiwe dawa. Ilikuwa lazima wajitetee kupitia utafiti??
2026-11-25 08:40:22
0
daisy15123
Deizy :
Dakika ni nne na si chocha,,,hiii sijui Saba ama 30mins ni bure kabisa,,,
2026-11-25 11:50:38
0
To see more videos from user @radio47_kenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About