@dr.clare.na.watoto: #usa #tanzaniantiktok🇹🇿 #congo #canada

Dr Clare na watoto
Dr Clare na watoto
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 07:24:46 GMT
125188
1768
159
103

Music

Download

Comments

masabo2249
Masabo :
baby walker hizo husababisha
2026-11-25 18:01:33
23
cecy.dely
Cecy Dely :
dalili ya usonji
2026-11-25 18:44:07
13
cuteruky360
ruqaiyyah :
mi wangu Ana miaka 8 ni ivyo ivyo
2026-11-25 15:02:18
3
user4968481904622
Lovely🌹 :
tupen bs dall mn n wa kwang anatembea iv iv shd n nn
2026-11-26 03:56:03
1
user3350304285034
user3350304285034 :
mm mwanangu kutembeya bado lkn ukimsimamisha anasimamiya hvy ana miaka 3 saiv
2026-11-25 13:13:27
6
mamtonga
Ummuh Hassan chosen❤️‍🔥👩‍👦 :
Jina la wimbo
2026-11-25 14:14:01
3
user2725629304415
Lucky :
utindio wa ubongo kwa hiyo mpeleke haraka hosptali
2026-11-25 16:42:48
3
fetty.bby
fetty bby💝 :
ni utoto tuu inamchukua kwa muda wa miaka miwili adi mitatu anavyoendelea kukua anatembea kawaida..wakwangu saivi anakaribia minne na ameanza kutembea vzur maana wakwangu alikuwa hivyo na alikuwa ajui kutembea muda mwingi yeye ni m2 wa kukimbia tuu ukimwambia njoo mbio o mpaka KERO lkn Sasa naenjoy
2026-11-25 20:51:11
3
mamashasha8
user940691449117 :
mie mpaka leo natembea ivo nna miaka 42
2026-11-25 19:36:49
3
husna..mduwile
It’s husna💦 :
Me wangu mbona alikuwa anatembea hivo Ila kadri umri ulivokuwa ukisogea anaacha mi nilikuwa naona michezo tu
2026-11-25 19:17:37
2
lillah388
❤️‍🩹 :
Kuna muda ni utoto tu,,,, ila iwapo haichukui muda zaid ya dakka 3, kuiga( katuni, wanyama au kama mnaangalia mitindo) pia yawezakua matokeo ya vifaa alivyojifunzia kutembea ( kama ameacha matumiz mwanzon anakua hvyo ukimfanyia massage ya mwisho ya mguu na kumsuport baada ya week ataacha) yaweza pia ni hitilafu hvyo waweza mpeleka kwa watabibu wa watoto na vichanga
2026-11-26 00:12:10
1
mamuwakeofficials
Mamuwakeofficials :
Hii huwa ni shida mjukuu wa dadangu alikuwa ivi aekewa clinic alipelekwa kwa miezi sita ndo hii shida ikatoka saii mtt yuko sawa
2026-11-26 09:30:46
1
bussinessman73
😜 :
wangu alikuwa anatembea hivyo akaja akaacha ila huyu wasasa anamika 4 bado anatembea hivyo
2026-11-26 12:35:57
1
wahida.muhsin.hus
muhsin wahida hussein :
kaka yangu anatembea hivyo mpaka na ana 39
2026-11-25 15:05:33
0
user6544209413614
Miss Rey⛱️ :
Mi wangu akiwa na hasira ndio anatembelea vidole🤣🤣
2026-11-26 07:47:28
1
chaggagirltz1
chaggagirltz :
sio kama ameamua ni ugonjwa tena
2026-11-26 11:39:22
0
bokeemanueli
bokeemanueli :
Wangu alikuwa pia anatembea ivyo ila nilimpeleka hosptl wakamcheck wakasema co tatzo ilo ivyo yupo poa tu saivi
2026-11-25 17:43:01
3
user8873151384181
user8873151384181 :
huo sio ugonjwa wala sababu ya catoon wangu alitembea hivo hadi sasa ako na miaka 17 bado anatembea hivo hadi baba yao anatembea hivoo
2026-11-26 05:05:57
2
aikah221
Aikah👧♋️ :
Dalili za Autism 🥹
2026-11-27 02:05:11
1
awenabae
awenabae :
mie ndo anaenda ivoivo
2026-11-25 13:20:46
0
sharonmathiasmassawe
Ms Notified ❤❤ :
Dalili za autism
2026-11-26 02:47:56
1
mkalimany
IBWERA STATIONERY & ENTER :
Si utueleze ni tatizo gani?
2026-11-25 16:55:28
1
edithanoel2
edithanoel2 :
mi wangu alikua ukimvua viatu au soksi ndo anatembea hivo ila akivaa tu anatembea sawasawa
2026-11-25 19:55:02
1
raufaazizi385
raufaazizi385 :
jmn mtt wngu anatembeaga hivi hivii mda mwingine
2026-11-25 20:08:48
2
ramableezy
R MASIMBA :
hakun tatz
2026-11-25 15:00:07
1
To see more videos from user @dr.clare.na.watoto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About