@sonk67667:

waria scania
waria scania
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 25 November 2026 07:31:09 GMT
16253
834
35
48

Music

Download

Comments

husseintimothy1
Sheriff Transporters :
44million fine hiyo pulling
2026-11-25 14:12:41
14
ericooh_
Ericooh! :
Izi ata mwenye mchanga alimaliza kujenga kitambo sana
2026-11-25 10:32:42
19
wa_chai2
@wa_chai :
pale mlolongo.....nilikua dere wa Iio
2026-11-25 14:40:56
5
william61240
wika :
gari ilipe fine ikiwa kazi si poa
2026-11-25 12:18:48
7
tohneymounting
Tohney mounts :
kuna moja iko na fine ya 20million
2026-11-25 12:35:57
8
0menyo
omenyo :
Isuzu fvz lorry yangu ya kwanza kuskuma kwanza gear ya corolla
2026-11-25 14:16:41
3
operationsky
EYE-IN-THE SKY :
What happens assuming this lorry was bought though bank finance
2026-11-25 15:44:51
1
rohjazz4
rohjaz :
nanunua ingine Mzee nakujia spares pole pole 🤣🤣
2026-11-25 16:58:33
1
kelvin.muimi3
Kelvin Muimi :
hapo ni mlologo weigh bridge
2026-11-25 16:06:17
1
tiger.brayoo
SteamBoy🔥🍷 :
na hizi lori nizanani, all the way from 2022 nazionanga hapo tu
2026-11-25 11:55:14
2
ally_kipenzi
Kipenzi :
hii ndio wanasemanga ili iwe funzo?
2026-11-25 15:22:11
1
isaacekalengasike
EKALE 🇰🇪 :
Hiyo pulling walimpiga fine ya 48M...That's 4 new trucks
2026-11-25 12:07:34
2
dankamama1
user 55556777 :
fine imezidi bei ya gari 😊😊😊
2026-11-25 12:45:19
1
davidthreedeemwau
davidthreedeemwau :
Am wondering nani mwenye makosa gari mwenye gari ama Dereva
2026-11-25 12:27:39
1
gaza.slim31
****** :
ukiskia Kenha sio mchezo,this is what people go through.unapoteza gari hvo tu
2026-11-25 11:40:37
0
f.unoh
brayoh_1 :
hua zinaekwa auction?
2026-11-25 13:15:27
0
unbwogable_angel
de angel :
noma
2026-11-25 14:17:39
0
beat800
beat800 :
unaiza pata hapa ni mlolongo
2026-11-25 10:43:06
2
mwangijon
Enriquehjon :
What is the purpose of holding gari ata kama.. makosa ni ya dereva shika yeye piga fine ama 1 year behind the bars.. juu hakuna tajiri anaeza risk ku.over load gari yake
2026-11-25 12:38:50
3
anapendaka
@Anapendaka :
waeeke fine ile affordable hii niunyanyasaji na ukishikwa mara tatu utaskia uchungu hutazidisha mzigo
2026-11-25 13:26:38
2
elvisdavincimasha
@Elvis Davinci Masha :
overload ya 10 tonnes
2026-11-25 13:59:01
2
nobheart2
925 :
nakama mtu bado analipa loan
2026-11-25 11:51:55
1
peterkaranja4952
Ngugi karanja :
BT madere wengine surely hu think kweli,,si Aliua atapita weighbridge BT ju gari si yake akagumisha tu
2026-11-25 11:11:19
1
daviewamaji
Precious Plumbers 🚽🚿🪠 :
Organize goons Hizo vitu ziondolewe hapo 😂😂😂😂
2026-11-25 14:40:21
0
peter.ngeno
Stone master kedowa :
Mtu wa weighbridge mwenye alishika hiyo lori ameseeka inakaribia kukufa😂😂🤣🤣
2026-11-25 14:44:41
0
To see more videos from user @sonk67667, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About