@bibie6534: Jamani shule zinafunguliwa lini? Watoto awasikii 😂😂🙌#tanzaniatiktokviralvideos #creatorsearchinsights ##kenyatanzania🇰🇪🇹🇿 #funnyvideo #fyp @BINTI MASUNGA 🍂🖇️🤭 @Pizzoh# ety mnafungua lini shule watoto wataniua hawa kwa presha mweeh 😂😂🙌🙌😩
CALL ME 〰️➰Bibie✨🌼❤️
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 08:05:57 GMT
Music
Download
Comments
Zuu :
mpaka kufikia mwezi wa kwanza atakuwa anatazama tu 😂😂😂
2026-11-25 10:12:56
70
CALL ME 〰️➰Bibie✨🌼❤️ :
YAANI WATOT WANGU NI WATUNDU SANA JAMAN JANA NIMEWATAFTA MUDA MREFU KUMBE WAPO KWENYE FRIJI WANAKULA MABARAFU USIKU KUCHA WANAKOHOA 😔😩🥹💔😂🙌🙌
2026-11-25 10:25:56
13
miss_sando :
mpaka January na mikono itakuwa imepooza😂💔
2026-11-25 10:51:04
17
bg≧◉◡◉≦ :
06/2/2029
2026-11-25 11:04:13
1
pochi na viatu dodoma :
Ambao tushawepeleka kwa bibi tupo leleleleee😂
2026-11-25 09:27:14
16
JB Fashion❤️ :
ata crawl si mbali😂😂😂😂
2026-11-25 11:05:53
1
💕samysuley💕 :
😂😂😂😂kazi kweli kweli
2026-11-25 11:03:31
1
dativatesha305 :
kaeni na Watoto wenu walimu tunachoka na January mje na hela za soda
2026-11-25 11:05:51
1
Anatalia John :
hata ndugu zao hawapeki cm
nalitaka waende huko nipumzike
2026-11-25 11:09:06
1
ms.ann.di :
nani huyu amenianika huku aki😅
2026-11-25 11:08:30
1
itslilies55 :
Mwambie anamiezi miwili bado😂😂😂
2026-11-25 10:10:37
8
Mery Andarus :
ahaaaaaahaaa mama angu mimi uyo
2026-11-25 11:04:32
1
🌼lily_05🌼 :
Walivyokuja tu likizo dada wa kazi kaondoka baada ya wiki we huogopi
2026-11-25 10:34:12
7
Natalia Ernest :
bado hamjasema[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-25 10:53:48
0
Double m cute@2 :
Hivi hakuna hostel zinazolea watoto wakati wa likizo jamani😂😁
2026-11-25 10:06:10
4
anithankya5 :
mpaka january inabidi wazazi wote tuende kwa mwanasaikologia ,na tukapime afya ya akiliii
2026-11-25 10:39:48
8
kinguluila8888 :
ni swala la muda tu,atakuwa ana waangalia Kwa macho tu
2026-11-25 10:25:57
5
Grace Martine :
2026-11-25 11:07:09
1
TREACY CLASSIC WEAR SONGEA :
2026-11-25 10:57:23
1
ms _ tiffy🎀🫀 :
As a teacher nliwatuma wakienda likizo wamalize kila kitu huko huko january tuanze vizur kwahyo tulieni wanakamilisha nlichowatuma😂😂😂🙌🏻
2026-11-25 11:08:46
3
ma twifu💍💖💫 :
mim koooh imekauka chakula aukipiti
2026-11-25 10:57:20
1
Rymo Hearty❤️ :
Mm wangu nawaangalia tyuu sina nguvu yoyote naona ata nguvu ya kuwaangalia itaisha soon😁😁
2026-11-25 11:05:07
1
BABALAO :
kuna mmoja ashapata hasara ya tv na redio huku 😆😆😆
2026-11-25 11:08:30
1
Nu😘og😘 :
nd kwanz leo trh 25 bad kam mwez n nusu hiv km sjakosea🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣pol san ndug wazazi [Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-11-25 10:50:22
1
Polite Polite :
me sahiv naongea Kwa vitendo
2026-11-25 10:57:26
1
To see more videos from user @bibie6534, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.